Search results

  1. playboy babu

    Tarehe 24 ndio leo CAS vipi?

    Tulipoona tangazo la PRESS ya leo ya YANGA tulijua majibu ya Morrison ndo yamerudi kumbe wanatangaza ujio wa HAJI MANARA swali ni je WHY MANARA ATANGAZWE katika tarehe ambayo tulitarajia watupe matokeo ya CAS? Kuna watu wanachezewa akili hapa..nadhani leo ilipaswa tuambiwe juu ya MORRISON..kwa...
  2. playboy babu

    Inakuwaje Diamond anaendelea ku-trend namba moja pamoja na kuzidiwa watazamani na Alikiba?

    Jamaa kazidiwa viewers though alianza yy kupandisha video yake YouTube.. this means hii no2 ndio inatazamwa sana kwa sasa, sasa why no1 haishuki trend?
  3. playboy babu

    Seduce kupigwa kwenye gwaride la heshima kama siyo habari hivi?

    Ingekuwa wale wazee wa "KIKI" Kila upande taarifa ingekuwa hiyo...nimesubiri kwa muda mrefu nione nani atamfunga paka kengele, mnachunia ili baadae domo akifanya kitu kidogo mke mtupigie kelele, KING IS KING ALL THE TIME.
  4. playboy babu

    Tuacheni u team jamani tuseme tu ukweli mavazi ya Diamond

    Ustaa sometimes unakuwaga kama unavuruga mtu akili hivi haya mavazi anayovaa Diamond sometimes kwa siku za hivi karibuni mnayaelewa? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. playboy babu

    Diamond, acha wizi wa nyimbo

    Baba lao ni copy ya ngoma ya Naira Marley inaitwa Soapy go YouTube andika soapy by Naira Marley utaona wizi wa huyo boss wa WANAFKI CLASSIC BABY --------------------- Nyimbo ya Diamond Platnumz Nyimbo ya Naira Marley
  6. playboy babu

    Kupambana na Kiba "The King" ni ngumu na gharama sana

    Naona the way WCB na "mwenyekiti wao" Diamond Plutnumz wanavyopata tabu na huyu mtu na wameona waamue mbinu mpya tu ambayo ni kutoa ngoma zaidi ya 3 wakati Kiba akiwa katoa ngoma hii tafsiri yake ni kwamba ngoma 1 ya kiba ni sawa na ngoma 3 za Diamond jumlisha na watoto wake. Na ndo maana...
  7. playboy babu

    Hili la mfalme wa Oman kutaka kumpa uraia wa Oman King Kiba linvekuwa upande wa pili ingekuwaje?

    Moja ya vitu vinavyofanya ni.kubali Ali Kiba au King Kiba ni kuwa na tabia za kiume..kutoongea sana, kutojionesha nk pamoja na mambo yoooote nashangaa sioni mkizungumzia jamaa kutaka kupewa uraia wa oman pamoja na kujengewa kasri lenye wafanyakaz 30 wataomubudumia maisha yake yote pamoja na kuwa...
  8. playboy babu

    Hii mirindimo ya kikongo kwa hapa bongo ni Ali Kiba tu Diamond umefeli..

    Kila nikiisikiliza kolabo ya Diamond na Fally Ipupa(INAMA) najikuta nafurahia midundo tu na siyo uimbaji wa bwana Nassib Abdul. Najua ni vyema kubadilika lakini wakati mwingine tuangalie na kubadilika kwetu. Mimi nadhani hii mirindimo ya kikongo kwa wabongofleva wangemuachia tu mzee wa...
  9. playboy babu

    Funga mwaka na KING KIBA VIP 400,000/=(laki nne)

    But kuna watu wanasema jamaa kwisha, hajui Kuimba, anawezaje kuandaa shoo yenye kiingilio hiko? But kati ya hao wanaombeza waliwahi kumuomba ashiriki kwenye shoo yao akachomoa. Ifike mahala huyu jamaa apewe heshima yake tu, more Than 10 yrs kwenye industry and still he is on top msanii gani...
  10. playboy babu

    Tofauti ya mla tikiti na ugali asubuhi; Diamond na Kiba

    Asee tukae tukijua kuna tofauti kubwa sana ya mtu aliyekula tikiti maji na aliyekula ugali asubuhi, Aliyekula tikiti maji asubuhi ya saa moja by saa nne tu njaa humuuma tena na huingia tena jikoni kuchukua kipande kingine cha tikiti na ikifika tena saa nane na saa 12 atakula tena na hivyo...
  11. playboy babu

    Kiba aendelea kukimbiza kwenye tuzo za NAFCA

    Nafurahishwa na namna King Kiba anavyowakimbiza katika tuzo zinazoendelea kupigiwa kura za NAFCA. I used to say always that "KIZURI CHAJIUZA NA MUDA NDO HAKIMU WA KWELI"
  12. playboy babu

    ENDELEENI KUSUBIRI MELI UBUNGO....

    Anayejua anajua tuu... Kambi ya p square nayo imesemaje?...hahahaaaaaaa
  13. playboy babu

    Tapeli wa Vyeti Feki

    Huyo jamaa anapatikana kwa namba 0713160073 Kaisajili kwa jina la ROBERT RISASI. Huyu jamaa huwa anajinasibu kwamba yeye ni mfanyakazi wa Baraza la Mitihani hivyo anaweza kutengeneza vyeti orijino au kubadilisha matokeo kwenye mashine za baraza la mitihani. Huyu jamaa siyo wa kuachiwa.
  14. playboy babu

    Lupela ya Ali Kiba yapigwa CCTV

    Wakati wengine wanawaza ngoma zao kupigwa Chanell O na Trace ambazo kimsingi ni maalum kwa ajili ya burudani habari ni kwamba Ngoma Lupela ya King Kiba imepigwa kwenye Chanel ya CCTV ambayo kimsingi haijajikita katika masuala ya burudani. Hii maana yake nini basi? Maana yake ni kwamba video...
  15. playboy babu

    Mzima mzimaa

    Mzee muhuni ndo nshaingia... Marhaba wote.. Twende kazi JF
Back
Top Bottom