Search results

  1. S

    Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

    Mimi naona Mh Rais aendelee kupanga safu yake ya viongozi pole pole mpaka ajipatie viongozi walio bora. Kama akikosa viongozi wazuri huko CCM basi aunde Baraza la umoja wa Kitaifa upande mwingine yaani kwa wapinzani kuna watu wazuri sana ambao ni viongozi bora Awatumie hawa ili wamsaidie...
  2. S

    Mauaji yanayoendelea nchini Burundi

    Halafu eti rais wao kaokoka. Hata hanijii kichwani mtu anaina watu wanachinjana halafu anakaa kimya. Wokovu gani huo. Uwongo mtupu
  3. S

    Siri kuu kuhusu Escrow zafichuka

    Sauti ya wananchi ikiwa kubwa itazungumzwa. Lakini mkisema haiwezekani basi hata wapi wanasima Naomi yenu
Back
Top Bottom