Search results

  1. M

    Aliko mgombea mwenza wa Dr Slaa 2010

    Kunatouti kubwa sana kati ya kuelimika na kusoma,....*(kunawasomi wengi tu, waonyesha wameonyesha madudu matupu katika uongozi) Naomba ifahamike kuwa uongozi ni WITO, ni KUJITOA katika kutumikia watu bila manung'uniko. Napingana na wewe ,unaposema darasa la saba (mwenye cheti cha darasa la...
  2. M

    Uponyaji wa Loliondo wachamganya

    Ukiwa na Imaani KIasi cha chembe ya haradani, waweza kuhamisha milima na kuitupa baharini, Ukitaka kufahamu kitu mwombe roho wa BWANA, na sio kujazwa na roho mtakatifu (mtakafujo). Mtatizamo wa mtu (MTU) binafsi pamoja nauwezo wake wakuelewa mambo, usilazimishe kuwa ndio msimamo wa jambo liwalo...
  3. M

    Kongamano la Vijana wa CHADEMA vyuo Vikuu DSM-Dr Slaa,Zitto,Mnyika,Marando Kuunguruma

    Dada Regia, Shukrani kwa kunijuza, vyombo vya habari vipi vitatuhabari moja kwa moja....
  4. M

    Wabunge wote wa CCM wameitwa dharura kikao cha DOWANS kesho

    Safi sana, Waache waende kuambukizana ujinga,....Maana vijana huko MTIMBILIMBWI nao wanapa habari kupitia Gazeti la Mwanahalisi,..Wanalia sana Matofali yao yananyeshewa baada ya ndoto yao ya kununua cement 5000Tshs na Bati 6000 kuchakachuliwa.
  5. M

    Rais Kikwete hajatoa salamu X-mass?

    ..............Msimlaumu Doctor, anamaana yake, dr hawezi kuacha kutuma salamu kwa watu walio mtajirisha.
  6. M

    Krismas mbaya kwa Kikwete

    Nawapongeza sana viongozi wa Madhehebu ya Dini kwa kuingilia kati kutimiza moja ya Jukumulao lakukemea maovu katika Jamii.Maana wasipoanza kuangalia ustawi wa amani wa nchi wanaweza kukosa pahala pa kuhubiria neno la Mungu. Viongo wa Dini mmetaja wasaidizi wake, mimi na nafikiri sababu kubwa...
Back
Top Bottom