Search results

  1. K

    Je ni mchafu, mvivu au kibri

    Atakuwa mnene huyo wanawake wanene ni wavivu sana.... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  2. K

    Fanya Setting hizi kujua aliyekupigia Wakati umezima simu yako(Voda na Airtel tu)

    Ahsante.. Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  3. K

    Wito wangu kwenu makamanda wote wa CHADEMA, Acheni unyonge,woga na aibu pambaneni

    MaCDM bwana mmepata story ya kuandika na kutolea matamshi baada ya ZZK kuwa kimya mkakosa story naona mmefufuka kwa kijistory cha Mhe.JK kutaniana wajumbe wenzake nyie mmevalia bango... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  4. K

    Video: ITV News ya UK yapeleleza biashara ya NDOVU nchini, yawarekodi wauzaji bila ya wao kujua...

    Twende kazi watajulikana wote tu... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  5. K

    Chezea kifo wewe!!!

    Zitto Zuberi au majambazi wanamjua ZZK? Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  6. K

    Anatafuta mume

    Jicho nyanya hivyo cpati picha ukimpatia viroba jogoo vitatu au banana wine litakuaje? Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  7. K

    Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

    Nakumbuka mabweni ya wavulana waliokuwa wanakaaa hostel Mwakyambiki,Makame... Nakumbuka pia usafi wa jumamosi mnamwagia maji ardhi afu mnafagia na kutandika saaafi unapanga plate,kijiko na kikombe kwa ajili ya ukaguzi... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  8. K

    Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

    Huyu afande alikuwa na sauti yake ya bangi bangi... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  9. K

    Ni wakati umefika sasa kwa NCCR Mageuzi kurudisha heshima ya upinzani, CHADEMA wanatia aibu!

    Mzimu wa ZZK kazini ndo kwishney wasitegemee watarudi kwa dizaini yao ya ukabila,udini na ukanda watabaki kule kule kaskazini na chopa zao... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  10. K

    Kituo kizuri cha polisi kuliko vyote Tanzania

    Tembelea Mwanza kituo kidogo cha Polisi Nyakato kizuri kuliko hicho... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  11. K

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Hatimae nimepata pacha wangu nami dec 25... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  12. K

    Kwa mliowahii kuvaa nguo hizi na viatu hivi, unakumbuka nini miaka ya 1998 hadi 2005

    Zilikuwa zinaitwa tafu Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  13. K

    Nipe mtaji wa grocery teh teh

    Kabisa wanatoa invoice za ukweli pande za Karatu kwa Dr Slaa asilimia 90 ya grocery zinamilikiwa na mademu baada ya kuwachuna wazungu,madereva tours na wafanyakazi wa Ngorongoro... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  14. K

    Nipe mtaji wa grocery teh teh

    Huyo atakuwa wa kanda ya kaskazini nadhani ndo zao... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  15. K

    Jimboni Kalenga: CCM wamsimamisha Geodfrey Mgimwa kugombea ubunge

    Kila mtu mnaona mzigo,hivi wewe DOMA una mzigo? kama hauna utakuwa unapakuliwa.. Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  16. K

    Ipe maneno

    Hiyo ni CDM wanahisi kwamba wana support kubwa ya watu,siku ya uchaguzi wapiga kura wanahama kwenye huo ubao jahazi linazama wanabaki ohhhh tumeibiwa kura ohhh TISS cjui nn nn... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  17. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wadua aliyeko Karatu anataka kuja Mkuranga acheck na mie.... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  18. K

    Zanzibar wanawake wanavyoteswa na waume zao

    Kwa mbaaaaali naona dalili ya JF kufungiwa....wanajamvi acheni mambo ya ki....e!!!!! Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  19. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee naomba nijulishe nn maana ya handcap? Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  20. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mi mgeni kwenye mkeka nimecheza dau la buku ten vp nikishinda napata bei gani sichacheza handcap manake hata sijui tofauti.. Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Back
Top Bottom