Search results

  1. vicentkisenya

    Msaada kwa simu yangu ya Huawei laini moja ya Tigo

    Nina sim aina ya huawei ambayo inatumia lain ya tigo only kuna siku nilipeleka kwa fundi ili nipate huduma ya ku unlock ili itumie mitandao yote! Baada ya fundi uyo kushindwa kuitengeneza imekataa kusoma lain ya tigo na nikiweka lain ya tigo inatoa ujumbe huu kama kwenye hii picha apo...
  2. vicentkisenya

    Natafuta link ya kudownload the fate of the furious 8

    Msaaafa wana JF mnaweza nisaidia link nzur ya kupakua furious8 yenye full hd kiurahis
  3. vicentkisenya

    Namna ya kupata Imei namba za Techno Y3

    Nina sim aina ya tecno y3 baada ya kuanza tatizo la kuwaka na kuzima bila kumaliza nikaamua kui flash baada ya kui flash nikaja kugundua ile sticker ya imei number kuna baadh ya imei hazionekani,Naomba nisaidiwe jinsi ya kupata imei za sim yangu kama kuna njia nyingine.
  4. vicentkisenya

    SIASA ZA TANZANIA

    Kuanzia Sakata la kutaja Watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya mpaka kinachodaiwa "Uvamizi wa kituo cha Clouds Media Gruoup"! RC Paul Makonda amekuwa gumzo kuu hapa Nchini kwa sasa ,kuanzia kwenye vyombo vya habari,mitaani na kwingineko! Nikiwa hapa Kijijini kwangu Mwanduhitinje nimekuwa...
  5. vicentkisenya

    Laptop yangu inawaka ila hai display

    NA nimejaribu kuweka Vga cable ili ni display kwenye anaza monitor imegoma plz nisaidien nn tatizo
Back
Top Bottom