Search results

  1. zabron k

    Namba za Mbolea ya Ruzuku

    Wakuu Nilikuwa nimehifadhi namba za mbolea ya ruzuku kwenye simu (smart phone) bahati mbaya simu imedumbukia kwenye maji na kioo kimekufa. Nimejaribu kutafuta kioo kipya lakn gharama zake ni kubwa, nimeona nifanye mambo mengine kwanza. Naomba kujua kama Kuna namna ya kufanya kupata namba za...
  2. zabron k

    Msaada: Mayai ya Bata kwenye Incubator

    Habari ya leo Ninataka kutotolesha mayai ya bata wa kisasa kwenye Incubator iliyonunuliwa mwezi uliopita kutoka kampuni ya Kitanzania. Naomba kujua joto na unyevu kwa mayai ya bata ndani ya incubator linatakiwa kuwa kiasi gani? NB- Mayai nitachukua kwa mdau mwenzetu anayefugia Chanika DSM
  3. zabron k

    Tatizo la Nguruwe kula kuku

    Habari ya leo. Nina mradi wa ufugaji nguruwe mix kuku wa kienyeji Kijijini kwetu Songea. Tatizo lililopo ni Nguruwe kukamata na kula kuku wanaoingia bandani kuokota punje za mahindi. Sio chini ya kuku 10 wamefanywa kitoweo. Naomba msaada changamoto hii wafugaji mnatatuaje?
  4. zabron k

    Natafuta Mashine ya NMB WAKALA

    Nimefuata taratibu za kawaida lakn bado Mambo magumu, Kwa mwenye nayo au afanye connection ya uhakika niipate aje inbox tuyajenge. Maji, vocha bila kusahau korosho zitakuwepo Nipo DSM
  5. zabron k

    Naombeni muongozo, wazo langu kufungua pharmacy

    Huu ni mkopo na marejesho ni mshahara kwa miaka 12. Zile nyuzi pendwa za kutoa madini ya ujasiliamali sizioni tena jukwaani na huku mtaani warembo wameanza kupendeza zaidi. Nisaidieni ndugu yenu, wazo langu kufungua pharmacy
  6. zabron k

    Biashara ya simenti

    Nataka kufungua mradi wa kuuza simenti aina ya dangote mkoa wa pwani. Kwa wazoefu, naomba kujua Bei ya simenti kiwandan kwa Sasa ikoje, gharama za usafiri au kama kiwanda kinasafirisha mzigo kwa gharama zao Natanguliza shukuran
  7. zabron k

    Wanawake vitani

    Labda nipo nje ya Dunia au sijapata taarifa sahihi Kwa miaka mingi wanawake wamekuwa wakitaka usawa kwa kila kitu (50/50) na kudai kuwa mfumo dume hauna maana tena kwa Sasa. Vita ya Russia na Ukraine sijasikia au kuona kwenya Luninga wanawake wakitaka usawa wa kubaki nchini kwao baada ya Rais...
  8. zabron k

    Hapo vipi wadau

    Ninategemea kupata mkopo 50m mwezi ujao kutoka "kikoba" fulani na ninategemea kufanya yafuatayo Nitanunua Bajaj 2 ( moja Nampa kaka aendeshe maisha nyingine nitabaki nayo) gharama ni 12m Kufungua saloon simple ya kiume 2m Nitampa wife 0.5m atoe mtero buzi lake [emoji23][emoji23] 5m fixed...
  9. zabron k

    Mawazo yanahitajika kuhusu Uncle kulala na mtoto chumba kimoja

    Habari ya leo. Miezi kama 3 iliyopita alinitembelea shemeji yangu wa kiume (miaka zaidi ya 30) na alilala chumba cha watoto. Ikumbuke Nina Binti/mtoto wa kike miaka 5, wakati huo niliongea na mama watoto kuwa next time sitaki kuweka utu wa mtoto wangu rehani kwa watu wanaojiita "uncle" Leo...
  10. zabron k

    Updates za Covid 19 mtaani kwako

    Maisha ndio haya haya Nipo Singida mjini, maisha yapo kama enzi za mwalimu ( hakuna barakoa, tumebanana, hakuna kunawa nk) na wala hakuna taarifa za watu kuanguka au kupoteza maisha kama tulivyokuwa tunatishwa na "vikundi fulani". Kumbuka wakati JPM alipokuwa akisisitiza tuondoe hofu, ugonjwa...
  11. zabron k

    Takwimu au rekodi mbaya nyingi za dunia zipo Kusini ya Jangwa la Sahara

    Takwimu au rekodi mbaya nyingi za dunia zipo kusini ya Jangwa la Sahara. Umasikini wa kutisha Ukosefu wa ajira Viongozi wezi Viongozi wanaotaka kuishi madarakani Mile Demokrasia mbovu Vifo vingi Magonjwa Rasilimali za madini zisizo na faida kwa taifa Mimi pia nipo kusini ya Jangwa la Sahara...
  12. zabron k

    Vibali vya ujenzi

    Wakulungwa habari ya leo Baada ya kunyaka 4M juzi kati, Leo nikaamua nijisalimishe ofisi ya serikali ya mtaa kujua taratibu za ujenzi. Nilichoambiwa ni kuwa, kabla ya ujenzi natakiwa kuwasilisha maombi ya kujenga ambayo nitamuandikia mkurugenzi wa manispaa lakini yakipitia ofisi ya mtendaji wa...
  13. zabron k

    Kwa milioni 4 naweza kujenga nyumba ya kupangisha na fremu za biashara

    Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano. Kuna jamaa nilikuwa namdai kanilipa 4m juzi, Sasa nafikiria kujenga nyumba ya biashara (chumba na choo chake) vyumba 3 pamoja na fremu 2 kwenye eneo la 20×30. Kwa jinsi nilivyo nahisi hii pesa itapotea hivyo ni Bora niiweke huko. Swali. Je nitatoboa...
  14. zabron k

    Wapi nitapata Bajaji TVS mpya Songea

  15. zabron k

    Nahitaji Incubator

    Wapi naweza kupaya mashine ya kutotoleshea mayai/vifaranga inayotumia umeme na gesi? Itapendeza kama wahusika ni wajasiliamali wa kitanzania.
  16. zabron k

    Wapi naweza pata Incubator

    Wapi naweza kupaya mashine ya kutotoleshea mayai/vifaranga inayotumia umeme na gesi? Itapendeza kama wahusika ni wajasiliamali wa kitanzania. ====== Pitia uzi huu Tunauza incubator, mashine ya kutotoleshea vifaranga mashine ya kuangalia vifaranga
  17. zabron k

    Tetemeko la ardhi Nyanda za Juu Kusini

    Nipo mbinga, tetemeko limetikisa mji. Sijui kama kuna madhara yametokea Usiombe picha
  18. zabron k

    Wapenzi wa mieleka

    Habari ya leo, Humu ndani kuna mada mbalimbali za mipira, siasa, mapenzi, utani na nk. Bahati mbaya sisi wapenzi wa mieleka kutoka kona za dunia hii hatuna jukwaa letu. Naomba tukutane hapa kupeana maujuzi na vimbwanga vya wababe unaowafahamu.
  19. zabron k

    Mvua imekolea

    Mvua inaendelea kuonesha utukufu na baraka za Muumba, twende tukalime sasa. Wale tunaotumia jembe la mkono, tunaolimia WhatsApp, mikokoteni au ng'ombe bila kusahau tunaolima kwa simu. Mwakani tusije lalamika mahindi au unga umepanda bei twende shamba jamani.
  20. zabron k

    Wanaonunua pesa chakavu pamoja na Dola wanazipeleka wapi?

    Wakuu naomba kuuliza, Karibu miji yote mikubwa kuna wafanyabiashara ndogo ndogo wananunua fedha chakavu na dola chakavu. Hizi fedha wanapeleka wapi au wanafanyia nini?
Back
Top Bottom