Search results

  1. P

    REA IKO WAPI SASA

    Mimi ni fundi umeme wa majumbani .kama kuna kijiji umeme unaingia na mafundi wanahitajika naomba taarifa
  2. P

    Ni dawa gani bora ya meno?

    Meno yangu yanatoboka nimetumia dawa mbalimbali bila mafanikio. Pia nasukutua Mara tatu kwa siku. Nauliza ni dawa gani ni bora ?.
  3. P

    Nafanya biashara sifanikiwi, nini siri yake?

    Nimeanza biashara pembeni ya mji kwa mwaka mmoja bila mafanikio. Nikahamia katikati ya mji mwezi wa sita sasa bado napata wateja wachache najiuliza au hii biashara ya vifaa vya umeme nayoifanya hailipi. Naombeni ushauri.
  4. P

    Vitundu kwenye kope za macho

    Macho yangu kila kope Lina kitundu kimoja. Nimeenda kwa dokta nimeambiwa ni vya kutolea machozi . Madokta je hili ni tatizo ?.
  5. P

    Msaada ugonjwa wa macho

    Kwenye kope ya chini ya jicho kuna uvimbe mdogo una tundu ni kama upele flani hivi ambao unawasha nimejaribu kukamua lakini hautoi Kitu.nauliza hii ni nini ? na matibabu yake yanakuwaje ?.
  6. P

    Nyimbo ya Kapten John Komba

    Hizi nyimbo za kap John Komba naweza kuzipata kwenye website gani ?.
  7. P

    ARUSHA TEC.

    Diploma in electronics and telecommunication imeshaanza ?.
  8. P

    wanachuo ATC

    Msaada Diploma in electronics and telecommunication. imeanza ATC ?.mwezi gani naweza kutuma Maombi ?
  9. P

    Habari za Tanelec

    Anaye fahama k?wanda hi cho naweza Pata vifaa Vya wiring ya nyumba ?.
  10. P

    Msaada: Tatizo la meno kutoboka

    Meno yangu yanachimbika. Nimejaribu kusukutua mara tatu kwa Siku lakini bado tatizo linaendelea dawa mbalimbali za meno nimetumia lakini bado.
  11. P

    Mjasiriamali aliyepo Karatu tuwasiliane

    Kama Yupo aniche ki 0787558626.
  12. P

    Mashine ya kukamua juice ya miwa inahitajika Arusha

    Nahitaji mashine hiyo Kwa arusha naza Pata ..
  13. P

    Msaada: VETA Kigoma

    Kwenye chuo hi cho naweza Pata diploma ya Electric and electronics. Ushauri Kama Kuna veta nying ine.
  14. P

    Inawahusu wakazi wa Karatu

    Huo mji naweza pata maduka ya jumla ya Vifaa vya ume me kama bulb na Switch nk. Pia mabelo yamtumba yanapati Kana. Mwenye taarifa anijuze.
  15. P

    Fani Electronics

    Tapata wapi ? chuo ambacho taweza kujifunza Kutengeneza vifaa vya ume me Kwa Kutumia comptuter.
  16. P

    Diploma Electric and Electronics

    Natafata chuo Kizuri Kwa Fani hiyo .Nina Level 3. Naombeni Ushauri wenu wadau. veta Kigoma na tanga .Kwa WaLio Soma wani juze.
Back
Top Bottom