Search results

  1. G

    World Bank yazitaka nchi mbalimbali Duniani ziige namna Tanzania inavyosimamia Uchumi wake na kudhibiti Mfumuko wa Bei

    World Bank wamekuwa kichocheo cha kuleta umasikini hasa nchi za dunia ya tatu hasa za kiafrika. Wanakusifia na kukuweka kitambaa machoni lkn siyo uhalisia
  2. G

    Je, mbunge Luhaga Mpina ndiye aliyechukua nafasi ya kiongozi wa upinzani Bungeni?

    Tatizo lake ni kuhukumiwa na historia pale alipopima samaki kwa bikali
  3. G

    TARURA na TANROADS yale matuta pale kigamboni mnadani yanaumiza sana! Tunaomba yaboreshwe au muweke moja kubwa

    Wanaotengeneza matuta wanatakiwa waende TBS kuuliza waweke matuta gani yenye viwango. Maana unaweza kuwa na gari lililopishwa na TBS kwa ubora lkn likashindwa kupita kwenye barabara za TARURA NA TANROAD. Hapo huwa nashindwa kuelewa kama watu wanafanya kazi kwenye nchi moja
  4. G

    Serikali ikiondoa unafiki na chuki bado Kagera inaweza kuchomoza, Chalamila unatakiwa kujua haya

    Haya Sasa. Huyo ni kiongozi na kaonyesha wazi chuki dhidi ya wahaya. Pia naona michango mingi unakuja against wahaya. Sasa wahaya tafuteni jinsi ya kubadilisha majina yenu. Msitegemee kupata ajira na kushinda interview kama watu wenyewe ndo hao. Kazi kwenu akina Mutashobya, Mwijage, Karugendo nk
  5. G

    INAUZWA Nauza Viwanja, nyumba na Mashamba Kigamboni Dar es Salaam

    Hiyo inaonekana Kuna mtu kakaa kdg siyo Kama za Chamazi na Chanika
  6. G

    Tumeanza kulazimisha mabasi na abiria kwenda kupakia stendi kuu?

    Kituo chenyewe cha Mbezi ni HATARISHI KWA AFYA YA WATUMIAJI. Mabasi yanayokuwa chini na yote yanakuwa yanewashwa asubuhi, kuna moshi mwingi sana. Moshi unazuiwa na paa na hivyo usambaa kwenye mabasi yote ya ayokuwa chini na wakati huo yote yanakuwa tayari yamepakia abiria. Kituo hiki kitakuwa...
  7. G

    Kwanini Wikipedia ya Kiswahili wamefuta baadhi ya Mada ikiwepo Mada ya JamiiForums?

    Wakati ninasoma mada yako hii, nimekutana na neno "nazani" nimeishia hapo sikutaka kuendelea kuisoma hii mada..
  8. G

    Ujio wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke waleta imani kwa wananchi

    Ujio wa Mkurugenzi huyu mpya umeleta imani kwa wananchi wa Temeke kwa Serikali yao. Mkurugenzi huyo anatoa muda mwingi kusikiliza kero zao na wakati mwingine anawafuata wananchi kulekule walipo kujioonea hizo kero na zenye kutatuliwa anazitatua hapo hapo. Wananchi sasa wanaamini kuwa serikali...
  9. G

    Deo Mwanyika na pesa za laana

    Mwanyika ni mtu mwadilifu sana na amekuwa ni nguzo kubwa sana kwa wafanyakazi wazawa na ni mcha Mungu.
  10. G

    Kesi ya Nyani kwa Tumbili

    Chama hakina nafasi kwa uzawa.
  11. G

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Watangazaji wa zamani saana ni kama. NASSOR NSEKELI, HAWA MALIPULA. MOHAMED NGAYONGA, RASHID SEIF NASSOR, MSHINDO MKEYENGE, JUMA NGONDAE NA WAKATI HUO FUNDI MITAMBO NI NOEL NAMALOWE, JACOB AYIMBA NK
  12. G

    Mikopo ya HESLB na matokeo yake baadaye

    halafu wakimaliza shule na kuanza kazi hawalipwi.
  13. G

    Halmashauri zetu na matokeo ya darasa la saba

    Nilitaka kuuliza swali kama hilo lkn umeniwahi. Nimetafuta kwenye mtandao sikupata. Nilidhani halmashauri za Dar watakuwa sharp kuweka kwenye mtando kumbe ndo ovyooo Hovyooo. Chama dhaifu huzaa viongozo dhaifu na halmashauri dhaifu...
  14. G

    Death of Bin Laden

    Kumbe yuko wapi? Wake zake wenyewe wanadhibisha kifo chake afu wewe unapinga. Mie sielewi akili za watu wengine.... akhrrrr
  15. G

    Faida ya tunda la karoti

    Nashukuru mkuu. Naomba ufafanuzi ni jinsi gani unaweza kudondosha matone ya maji ya karoti kwenye macho bila madhala. LKN KAROTI SIO TUNDA Kama ulivoweka kwenye heading.
  16. G

    Ni mbunge gani ktk mkoa wa Kagera atarudi 2015?

    Charles Mwijage Ingawa yuko kwenye chama cha magamba lkn katimiza ahadi nyingi pamoja na jitihada zake dhidi ya wahamiaji haramu toka Rwanda
  17. G

    Bado Mizengo Pinda (PM) hajanusurika kuondoka madarakani. Hoja ya Zitto imeongezeka uthamani

    nimejitahidi kusoma lkn siku nyingine jifunze kuandika thread fopi
  18. G

    Wakati wa mvua ninawshwa mwili

    Nami nakumbwa na mardhi kama hayo hasa nikioga maji baridi. Nashangaa kuona maji ambayo ni neutral liquid nayo yanaleta mzio. anikichemsha kuna afadhali kdg
Back
Top Bottom