Search results

  1. J

    Hii 'couple' siielewi kabisa, ushauri wenu utanisaidia

    Kuna kaka mmoja ambaye ni rafiki yangu kitambo sana. Tulisoma wote chuo kikuu degree ya kwanza tukisoma darasa moja na kozi moja. Baadaye tukasoma tena masters kozi moja. Kipindi chote cha masomo yetu na urafiki wetu, huyu kaka alikuwa na mahusiano yasiyoeleweka kwa kweli. Ni mzuri wa sura, very...
  2. J

    Mrejesho: Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    Kwanza nishukuru kwa wote mliochangia mada tajwa niliyoileta hapa Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke? Nilirudi nyumbani saa 2 na nusu usiku, baada ya kupumzika sehemu flani ambapo nilipata chochote cha kuujali mwili nisije kupata vidonda vya tumbo kisa njaa wakati hela ninazo...
  3. J

    Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    Am just thinking loudly. siku mbili zilizopita nilisafiri kwa shughuli za kiofisi. Kama mjuavyo mambo ya serikali yetu hii, unajaza imprest, hela ya safari inachelewa kutoka, au unaweza kulipwa hata baada ya wiki au mwezi tangu urudi toka safari. Sasa mimi ndo yakanikuta. Ikabidi nijiongeze tu...
  4. J

    Msaada: Mahitaji ya kuomba mkopo Loans Board

    Jamani naomba kujua summary ya vitu vinavyohitajika ili kuomba mkopo loan board. Kuna vingine nina uhakika navyo lakini naomba kujua kama kuna kingine nimesahau. Cheti cha form 4 Picha ya passport Cheti cha kuzaliwa Picha ya mdhamini Tsh. 30,000 (application fee) Je, kuna mengine? Kuna mtu...
  5. J

    Nyie wadada hivi mtajitambua lini? Na mpigwe tu

    Kilichonitokea jana kimenifanya niwaze mara mbili mbili kuhusu hawa viumbe wa kike hapa duniani. Iko hivi? Jana nilienda kwa rafiki yangu kwa maongezi ya mambo ya business (it was an appointment). Tulikuwa tumeahidiana tukapange business plan ya mradi fulani ambao tumeshafanyia pilot study na...
  6. J

    Laiti huyu mwanaume angejua...

    Jamani mwenzenu hali siyo shwari !! Namwonea huruma huyu mwanaume anayekwenda kumuoa huyu binti ambaye anakwenda kuolewa kwa show off!! Ilikuwa hivi, Mwaka 2010 nilikutana na dada mmoja, single mother. Kipindi hicho nilikuwa mbali na familia kwa muda mrefu kwa sababu za kimasomo. Tulifahamiana...
  7. J

    Nisaidieni, naweza kufa kwa mawazo

    Mimi ni mwanaume, Nimefikiria sana mambo mengi, nimepitia uzoefu mgumu sana maishani, kijamii na kimahusiano. Kimaisha (uchumi) sijafeli sana, niko vizuri. Ila kwa changamoto nilizopitia, nimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu maisha. Nimejikuta nachukia wanawake kuliko maelezo, nikimwona mwanamke...
  8. J

    Magufuli phobia imenikuta leo, wee acha tuu

    Ni siku chache tu zimepita tangu fagia fagia ilipopita na watu wengine kumwagwa kwenye vyeo na nafasi mbalimbali. Sasa, leo nilikuwa nafanya kazi zangu ofisini, mara napigiwa simu na namba ngeni. Kumbe ni bosi wangu katumia namba ambayo mimi sina. Akaniita kuwa nahitajika kwa bosi mwingine (bosi...
Back
Top Bottom