Search results

  1. B

    Mnaojiita Wachambuzi wa Soka Tanzania ni Bora mjiite mashabiki kuliko kudanganya Umma

    Ndio haohao wanaotoa hoja kwamba wachezaji wetu wengi sio bora kwa kuwa hawajapitia katika misingi bora ya soka lakini wanaamini kuwa kwa kutumia mashindano mbalimbali ya mitaani wanayoyaandaa yataibua wachezaji bora watakaokuwa msaada kwa vilabu na nchi!!!
  2. B

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    Hakuna kinachobadilika kwa umbo. Kinachotokea ni mpira kuwa rafiki na miguu!!
  3. B

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    Asante, pia anaezoea kucheza mpira peku siku atakapo pata viatu anaweza kuona ni vigumu kucheza akiwa amevaa viatu lakini baada ya muda huzoea na kuona kawaida tu.
  4. B

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    Ndio maana nimesema ni vema kujifunza kianze mapema, soma vizuri
  5. B

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    Tuelimishane hizo B nipo kujifunza na kubadilishana machache tunayoyafahamu
  6. B

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    😂😂😂 uko sahihi ndio maana nimesema " HAVIENDANI" sio havifanani. Sio compartible kama ulivyosema uke na uume au kizibo na chupa ndio nilichomaanisha.
  7. B

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    kwa upande wako upo sawa umezungumzia "usahihi" mimi nazungumzia "kuendena".
  8. B

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    Mpira una umbo la duara na miguu ina umbo ambalo kiuhalisia haliendani na kuuchezea mpira. Hii ni sababu muhimu kwa watoto wanaopenda soka kuzoezwa mapema kuuchezea mpira kwa muda mrefu. Kwa Afrika ni timu chache zenye uwezo wa kuwa na timu za watoto ambapo kila moja ana mpira wake kwa ajili...
  9. B

    Simba na Yanga ni dhahabu mchangani

    Pamoja na kubezwa mara kwa mara, kupondwa na wakati mwingine baadhi ya watu kutoa wito wa vilabu hivi vikongwe vitoweshwe kwenye ulimwengu wa soka kwa kudaiwa kwamba vinadidimiza mchezo wa soka, ni ukweli usiopingika vilabu hivi viwili ni dhahabu mchangani kwa maendeleo ya soka na nchi kwa...
  10. B

    Jonas Mkude anahitajika mnoo kipindi hiki

    Kwa muda alioichezea timu ya Simba na mapitio aliyoyapitia na kuendelea kupata namba katika kikosi cha timu ya Simba mpaka leo; ni wazi kabisa baada ya kupoteza mchezo jumapili iliyopita, Mkude ni mchezaji muhimu mnoo kama atatumika vizuri katika kuhakikisha wenzake wanasahau yaliyopita na kwa...
  11. B

    Ukipewa nafasi ya kuongeza Sheria moja kwenye soka ungeongeza ipi?

    Mchezaji akiumia kiasi cha kutolewa nje ya kiwanja kupata matibabu basi mchezaji aliemuumiza kama hakupata kadi nyekundu, na yeye akae nje ya kiwanja mpaka anaetibiwa arudi kiwanjani ndipo na yeye aruhusiwe kurudi kiwanjani ( hata kama alipewa kadi ya njano).
  12. B

    Barca inatupa Somo la Uongozi Bora

    Miezi kadhaa iliyopita ilionekana kama mwisho wa enzi kwa Barcelona. Awamu za uongozi wa Sandro Rossel na Bartomeu ziliiacha Barca katika hali mbaya ndani na nje ya uwanja. Kurejea katika uongozi kwa Laporta kumebadilisha kabisa uelekeo wa mambo. Laporta huyuhuyu ndiye aliyeiacha Barca ikiwa na...
  13. B

    Uzalendo kwenye soka la Simba na Yanga

    Raha ya mpenzi au shabiki wa Simba, kwa asilimia kubwa, ni pale Simba inapoifunga Yanga au Yanga kufungwa na timu nyingine. Na kwa wa Yanga ni kwa Yanga kuifunga Simba au Simba kufungwa na timu nyingine. Hakuna raha kwa mpenzi au shabiki wa Simba kwa Yanga kuifunga timu nyingine hata kama...
  14. B

    Kuna kosa kuzigawa habari za michezo Kitaifa, Afrika na Kimataifa

    Katika vipindi vya michezo kwenye baadhi ya vyombo vya habari, wamezigawanya habari hizo katika kundi la kitaifa, Afrika na kimataifa. Kwenye za kitaifa mara nyingi huwa wapo sahihi lakini linapokuja suala la habari za Afrika tayari ni za kimataifa sababu zinagusa mataifa tofauti afadhali za...
  15. B

    Kwanini Maafisa Habari wa timu wapo juu hapa nchini

    Miaka kadhaa iliyopita katika ligi za ulaya,hususani Uingereza, timu hazikuwa na afisa habari bali alikuwapo muandishi wa habari kutoka kwenye chombo cha habari, aliyeandamana na timu sehemu tofauti tofauti. Kwa kuwa vyombo vya habari vinajali zaidi vichwa vya habari"vinavyouza" waandishi hao...
  16. B

    Wachezaji wa kileo

    Mazingira ya soka yanabadilika sana kwa sasa kulinganisha na miaka 20 au 25 iliyopita. Uhusiano wa kocha na wachezaji ulikuwa wa "kigumu". Kocha aliweza kumuweka mchezaji benchi na uamuzi wake "ukaheshimiwa". Kwa sasa melezi, makuzi, teknolojia, mitandao ya kijamii, mawakala, mahusiano baina...
  17. B

    Utayari wa mchezaji wa akiba

    Timu bora siku zote huwa na wachezaji bora wa akiba. Baadhi ya makocha huangalia utayari wa mchezaji aliyepo benchi wakati mechi inaendelea. Miongoni mwao vitu wanavyofatilia ni; Timu yake inapopata bao anaonesha hisia gani Timu yake inapofungwa anaonesha hisia gani Timu yake inapokosa bao...
  18. B

    MISAMIATI YA UCHAMBUZI WA SOKA

    Huwa najiuliza hii misamiati inayotumika katika uchambuzi hutumiwa na wachambuzi "kiufundi" na "kimbinu" au kama misemo ya msimu tu. Mfano neno "mikimbio" karibu kila mchambuzi alikua analitumia katika siku za hivi karibuni, kwa sasa wamepunguza sijui wachezaji hawana "mikimbio" tena. Kadhalika...
  19. B

    Mfumo wa umiliki wa vilabu vya soka na maendeleo

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mchakato wa mabadiliko katika uendeshaji wa vilabu vya Simba na Yanga. Miongoni mwao mabadiliko hayo ni umiliki wa vilabu hivyo. Ni jambo zuri na la kupongezwa kwani linalenga katika kuleta mafanikio na maendeleo. Jambo la msingi la kukumbuka ni kwamba kwa...
Back
Top Bottom