Search results

  1. T

    Utitiri wa sheli za mafuta nje kidogo ya mji wa Dar, nini sababu?

    wengi wanaomiliki hivi vituo ni wasafirishaji wa mafuta(transporters) wanatumia kuibia mafuta ya transit
  2. T

    Ni halali Mbunge mteule kila kiapo cha Uwaziri kabla ya kile cha ubunge?

    no halali lakini haruhusiwi kushiriki au kuchangia chochote kwenye kamati mpaka aapishwe kuwa mbunge
  3. T

    Halotel yasababisha Wizara ya Mawasiliano kuunganishwa na Makamba kuikosa

    halotel ni kiboko ya mitandao yote nchini kila mahali IPO tatizo vocha tu
  4. T

    Shule ya Msingi daraja mbili inawaka moto

    lema aliacha kampeni au mbona. cmwoni hapo mkuu nahisi kuna haja ya halmashauri kuanza kuweka ulinzi kwenye shule zetu na sio wazazi kuambiwa toa hela ya mlinzi wahalifu ukibahatika kuongea nao kwa Mzee Wa upako au njia panda waulize nini nia yao hasa
  5. T

    Mabasi ya UDA yakamatwa, Ridhiwani Kikwete ahusishwa

    nani katoa maagizo hayo mtoa mada nahisi hana taarifa kasikia kama mimi nataka picha ikibidi ahojiwe mmiliki ndo uje hapa mkuu au na wewe unauliza
  6. T

    Naweza kusafiri na IST kutoka Dar mpaka Musoma?

    mbona karibu sana hivi hawa wanyarwanda wakitoa magari cwanaenda mbali zaidi ya hapo mtoa mada kama no mwoga ninao madereva kibao hizo ndo kazi zao jua umbali nikupe garama za mafuta mpaka Nyumbani
  7. T

    Hivi kwanini Wachagga wanapenda kuuza duka?

    njia rahisi ya kuwa karibu na watu na kujua mambo mengi pia Kilimanjaro kuna uhaba Wa ardhi njia rahisi ya kuishi ni kufanya biashara hasa ya duka au kuuza chochote sokoni
  8. T

    Ni kosa kubwa daktari kuwa Mkurugenzi wa Hospitali

    kama taaluma ya udaktari ni pamoja na uongozi nahisi lipo tatizo kwenye bongo za madaktari wetu mfano masawe kairuki ngoma hospital I zao hazifanyi vizuri bila wao kuwepo mwenye mfano Wa hospital I inayo Fanya vizuri anipe mojawapo na ni kwanini hawaachi kazi serekalini mfano masawe
  9. T

    Siku 41 shimoni yu hai, analetwa hospitali anakufa! Kuna watu wanatakiwa kuwajibika

    hakuna namna afya tz ni shida waangaliwe wanafanya kazi kwa mazoea ICU haina tofauti na wodi nyingine jaribu hapo muhimbili. nilihudhuria hapo miezi miwili na mgonjwa akafa manesi wanaiba chupa za chai wanajadili aina ya chakula alicholetewa mgonjwa wagonjwa wrote waliofanyiwa upasuaji kichwa...
  10. T

    Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

    upime make Wa MTU tax na huyu cuchangu huu
  11. T

    Taarifa ya Edward Lowassa juu ya hali ya kisiasa Nchini na Mustakabali wa Zanzibar, Nov 15, 2015

    yote safi tunataka halmashauri zenye tija Kyle tanga nilisikia kipaombele niTV ya halmashauri
Back
Top Bottom