Search results

  1. Sibonike

    Zanzibar ipewe kipaumbele kwenye miundombinu

    Zanzibar Revenue Aurhority wanakusanya pesa za kutosha kwa minajili hiyo. Za RRA acha zibaki Bara na hazitoshi.
  2. Sibonike

    Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

    Acha waendelee hivyo hivyo ili wapigwe 6 kwenye derby
  3. Sibonike

    Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    Ya kwangu ilikatwa Airtel. Kiasi cha laki nne na ushee. Nilienda straight kwa Manager pale makao makuu. Sio issue za vibandani au dirishani hizi. Na imeisharudishwa
  4. Sibonike

    Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    Baada ya miezi kadhaa miamala imerudi kama ilivyotoka.
  5. Sibonike

    Tume ya Uchaguzi kuwa Tume Huru ya Uchaguzi, Itakuwa Huru Kweli au ni Jina tu? Ukiomba Mambo 10 Ukapewa 1, Shukuru kwa Hilo 1. Asante kwa INEC!

    Pombe ya Gongo tubadili jina tuiite Whisky aina ya John Walker. Tutaanza kui export Dunia yote na kuingiza fedha za kigeni.
  6. Sibonike

    Refa na Mkufunzi wa FIFA akataa goli la Yanga

    Ukiona nguvu kubwa inatumika kukataa kitimu kilicho dhahiri ujue kuna maslahi yameguswa pahala
  7. Sibonike

    Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

    Waziri na Naibu wake wote ni Kolozidad lialia. Yanga wameomba na kukubaliwa. Kolizidad ombeni pia.
  8. Sibonike

    Lake Nyasa/Malawi walishalichukua Ziwa lao? Ni kama tumepokonywa au tumeliacha?

    Angalia ramani ambazo chanzo (source) chake ni Tanzania.
  9. Sibonike

    Serikali imetafuta Kampuni kutoka Dubai ili kuipa tenda ya kuendesha Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi Jijini Dar es Salaam

    Putting all the eggs in one basket. Kila kitu muhimu ni Dubai kwa Wajomba. Bandari ji Dubai huyo huyo. Carbon trading ni Dubai huyo huyo. Anythingyou name it , ni the mighty "Dubai"
  10. Sibonike

    Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    We acha tu. Kuna wajinga wengi sana. Nimesema wajings sio wapumbavu kuepusha shari.
  11. Sibonike

    Ushauri: Mke wangu anatembea na mfanyakazi mwenzie hadi kamzalisha

    Kwa title tu, maana yake huna mke tena. Huyo ni mke wenu. Amua kama unalikubali hilo au achana naye uamzw maisha mengine.
  12. Sibonike

    Makonda: Kuna UJINGA unaendelea wa kumtofautisha Hayati Magufuli na Rais Samia

    Makonda kafumua mzinga wa nyuki. Majibu atayapata si muda mrefu. Maneno yake ukiyachunguza kwa umakini mkubwa, anasema Rais Samia hatoshi. Ile ilikuwa awamu ya tano sasa tupo awamu ya sita. Pombe alikuwa na akili yake. Samia ana akili yake. Hawawezi kuwa sawa hata kama ilani ni ile ile na CCM ni...
  13. Sibonike

    Changamoto za Spa za Dar es Salaam kwa wafanyakazi

    Yaani kifupi chukulia hiyo ni bei ya lodge. Mengineyo ni makubaliano. Kwa Bongo, hayo ni aina ya madanguro. Wafanyakazi kwa sehemu kubwa ni hao hao wauzaji mitaani. Akili mkichwa!
  14. Sibonike

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Ni ajabu sana kwamba siku za mwisho hadi Pombe anazidiwa kiasi hicho, VP alifichwa sinema nzima. Ningetegemea awe na taarifa kuhusu maendeleo ya matibabu ya boss wake. Kwa nini wamfiche mtu ambae kikatiba alitakiwa kuchukua madaraka baada ya Pombe kuzima?
  15. Sibonike

    Ujenzi wa Uwanja wa Timu ya Young Africans Kuanza Mwezi Ujao.

    Habari hii itaonekana uzushi kwa Kolozidad. Napenda iwe hivyo. Siku wakiamka ma kuanza kuhaha, uwanja wa Wananchi utakuwa una host mechi
Back
Top Bottom