Search results

  1. I

    Umasikini wa Watanzania ni wa kujitakia

    CCM wamelamba turufu kwa upumbavu Wa watanzania
  2. I

    NEC yavitaka vyama vilivyo shindwa Uchaguzi vikubali matokeo

    Mbona CCM imeshindwa Zanzibar Tume hawaiambii ikubali matokeo? Huyo mkurugenzi aache unafiki
  3. I

    Rais Magufuli atua Bandarini, Pepo la kukwepa kodi lafikia tamati

    Vipi atatoa tena bilioni 3 jamaa wale?
  4. I

    Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Hapa Kazi tu Rais wetu hata kwa miguu anaweza kwenda kama akivyofanya Wizara ya fedha ana uchungu Na Mali za umma
  5. I

    Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Barbarossa Ndugu yangu maandishi haya no hatari kwa makosa ya mitandaoni unataka kueneza chuki? Ngoja tuwashauri wanasheria wake Mh.Lowassa ili ukathibitishe maandiko yako.
  6. I

    Uko wapi mwalimu wetu Mama Kisanji?

    Kwa wale Wanafunzi tuliosoma Na kumaliza kidato cha NNE ktk Shule ya sekondari AZANIA ya Jijini Dar es salaam mwaka 1976 tutakuwa tunamfahamu Mwalimu Mama Kisanji. Tunaomba yeyote anayejua alipo Mwl.Wetu atupe mawasiliano TUMSHUKURU MAMA YETU.
  7. I

    Wanasheria tusaidieni "mpokea rushwa polisi wa Tanga kakamatwa je mtoa ile rushwa mbona hajakamatwa?

    Ninawaomba wajuzi wa mambo ya Sheria ya Rushwa watujuzi Sheria ya Rushwa inasemaje kwa mntoa rushwa a mpokea rushwa.Kwa uelewa wangu mdogo nadhani iwapo mtoa rushwa hatatoa taarifa za kuombwa rushwa kwenye chombo husika basi akitoa rushwa atakuwa katenda kosa. Mkoani Tanga kuna Polisi...
  8. I

    Rushwa nje nje Dodoma Uspika wa Bunge, PCCB mko wapi?

    Umesema usitoe wala kupokea rushwa mbona yule polisi Wa tanga aliyepokea rushwa kakamatwa lakini aliyetoa licha ya kufahamika hajakamatwa au Sheria in kwa mpokea tu?
  9. I

    Hivi ni kwanini CHADEMA mnalaumu sana Polisi?

    Ulitaka wawalaumu mgambo?
  10. I

    Rais Dk. John Magufuli kuhamia Dodoma

    Sio kweli watanzania kwanini mnapenda sasa tetesi? Msiwe Na haraka ila atahamia chato kwanza
  11. I

    Naomba kujua, wapiga deal CCM wameondoka wote?

    Acha wewe hata huyo namba moja in balaa acheni uongo unajifanya hujui mbona wababe Wa lumbesa husemi
  12. I

    Wanaotangaza CCM wameiba kura wathibitishe

    Kwani kusema umeibiwa ni kosa? Kama CCM hajahusika wana wasiwasi Wa nini?
  13. I

    Wanaotangaza CCM wameiba kura wathibitishe

    Wacha upumbavu nenda kwenye vituo kisha nenda tume utapata ushahidi
  14. I

    Kikwete afurahishwa na hatua za rais Magufuli so far!

    Acha uongo hakuna cha mtandao wala nini
  15. I

    Sumaye aibuka tena

    Acha uongo mkuu we we unaishi nao? Unaijua katiba we we? Kasome katiba ujue kama wana maisha magumu au la lakini Baba yako ana maisha gani kule kijijini?
  16. I

    Isemavyo katiba na sheria kuhusu uchaguzi Zanzibar

    Wembamba Wa polepole ndio Na akili zilivyo anatafuta ukuu Wa wilaya
  17. I

    Kesi ya kupinga ubunge wa Mwakyembe yafunguliwa Mahakama Kuu, Kanda ya Mbeya

    Jamani mwakyembe yupi? Yule Wa Dr.Slaa pale Serena?
  18. I

    Taarifa ya Edward Lowassa juu ya hali ya kisiasa Nchini na Mustakabali wa Zanzibar, Nov 15, 2015

    Ushahidi Wa nini wenye ushahidi wamekamatwa utaupataji?
  19. I

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Ni kweli alisema ila amekwama Mchungaji sijui unaweza kufanya hiyo Kazi?
  20. I

    Wanaotangaza CCM wameiba kura wathibitishe

    Sheria gani mkuu? Mbona wanaomtukana Lowassa husemi?
Back
Top Bottom