Si kwamba kasindwa hata ungekuwa wewe unapewa data tu unaanza kuwajibisha wenyewe kama wamepewa wanayachunguza hata ungekuwa ni wewe umemkuta mkweo labda kapewa pesa aseme lake utamwajibisha haraka haraka hivyo si mpaka uchunguzi ufanyike nyie nyie baadaye mnageuka kakurupuka wameshinda kesi...
Mtu wa dini yeyote anaweza kuongoza isipokuwa huyo mtu kama ni mkristu anakuwa anawapa favoured nyingi wakiristu au mwislamu anatoa favoured kwa waislamu ndiyo udini huo na hiyo ni kitu cha mtu kiko kwenye damu na sehemu alikotokea pia kama ni wadini sana labda anawapenda kwa weakness zao ili...
Ushauri kwa Mhe. Rais ni kuangalia system zilizopo katika utoaji huduma na ukusanyaji wa mapato na kuzifanyia marekebisho System ndiyo imuondoe mtu awe Serikalini mpaka private sector mwenye mtaji mkubwa na mdogo kuliko hivyo Mhe. Rais utajichosha kazi bado ni kubwa mbele yako
Kwanza kabisa nimpongeze Mhe. Rais mtaafu kwa kazi nzuri ambayo Mhe. Rais Magufuli amepata pa kuanzia ushauri wangu ni kwamba waangalie kubinafisha baadhi ya sekta kwa Serikali kuingia ubia na hao wabinafsiwa au Serikali ifanye Centralized baadhi ya huduma zake za afya kwa maama ziwe Serikalini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.