Search results

  1. H

    Wakala wa huduma za ajira (TaESA)

    mimi na wenzangu kama 6 hivi tuliitwa pale mwezi uliopita tukafanyiwa preliminary interview halafu tukapelekwa kwa ajili ya interview yenyewe ambayo employer anawafanyia... nawa encourage tusikate tamaa jamani
  2. H

    Wakala wa huduma za ajira (TaESA)

    asante,ninachotaka kusema hapa ni kwamba tujaribu tu,we have nothing to lose. unapeleka CV yako na ikitokea kazi wanakuita..huku ukiwa unaangalia na sehemu nyingine. pia ni bahati maana kuna wengine wanapeleka baada ya mwezi au miezi miwili wanaitwa,wengine ndio hivyo unakaa hata mwaka kimya...
  3. H

    Wakala wa huduma za ajira (TaESA)

    Sema jamaa wanashughulika na private institution tu kwahiyo ni muda mzuri kudeal nao kwa kipindi hiki ambacho serikali haitoa ajira kwa mwaka huu. tujaribujaribu wakuu,
  4. H

    Wakala wa huduma za ajira (TaESA)

    mimi pia nilishakata tamaa lakini baada ya miezi 3 nikaitwa
  5. H

    Wakala wa huduma za ajira (TaESA)

    Jamani kuna kitu kinaitwa taesa,mimi zamani nilikuwa siwaamini naona ni siasa tu za serikali,lakini nimejiandikisha pale jamaa wamenitafutia kazi. tena nzuri sana. tuchangamke si unajua tena kujaribu sehemu yoyote. nime struggle miaka 3 mtaani. j3 ndio naanza kazi.
Back
Top Bottom