Search results

  1. majonzimakali

    Lot #3: Diploma holders meno yote nje!

    Lot#3 diploma holders wengi wamelamba mkopoo kwenye 82%...92%....hizo % haziwekwa unaconvert mwenyew. Tena hawakujali umechagua fuculty gani, hadi wa BBA wamewazdi wa education mkopoo. Kweli hapo sereeema Magufulii, ila tunaomba ambao wana sifa na hawakupata nao wapatiwe njia mbadala.
Back
Top Bottom