Ogopa magufuli asiwawaze sekunde tu utaona watu vichwa chini? Nataman mamlaka husika iitazame hospital ya wilaya ya bariadi haina jokofu la kihifazia maiti
Kwanza brother mama wawili humpendi ila kwa njaa njaa zako za kipindi kile ulikuwa unamwigizia kuwa unampenda afu we unakuwaje na vijitamaa na madem wa wenzio! Unazingua kweli rudi kwa mama wawili coz ulishamchafulia profile yake
Daaah! JPM ana mipango yake anayoijua ila ndo hivyo ilikuwa siri nzito na hatimaye Kasim Majaliwa ndo kapendekezwa kazi kwenu wabunge kumpatia kura za diyo kikubwa aendane na kasi ya HAPA KAZI TU! Si watawaliwa tunahitaji tanzania yenye maendeleo yenye kasi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.