Search results

  1. kunta93

    Leo nimeyakumbuka maneno ya kiongozi wa Upinzani Uganda, Bobi Wine

    Mwaka 2016 Y.K Museveni alitanganzwa mshindi kwenye uchaguzi wa Raisi huku mpinzani wake Col Dkt kizza Besigye akiwa gerezani katika kipindi chote cha kuhesabu kura na utangazaji matokeo Baada Raisi Museveni kuapishwa kua raisi wa nchi hiyo na kuanza majukumu yake ndipo Col Dkt kizza besigye...
  2. kunta93

    Mpenzi wako anapokwambia "flani ananitongoza" anakua anamaanisha nini?

    Juzi kaniambia mwanasheria wa kampuni yao anamtongoza akanitumia na screenshot ya meseji na hio sio mara ya kwanza kuniambia nadhani ni ya nne wahusika wakiwa tofauti tofauti Sasa najiuliza hiv huyu dem ananambia hivi ili iweje??anataka nikampge huyo anaemtongoza?au ananitambia tu ili kutishana...
  3. kunta93

    Nitumie mbinu gani kumuacha ila nikiwa na hamu awe ananipa?

    Habari zenu mabaharia, Kuna binti tuko kwenye mahusiano ila kichwani ni empty, ni spender na hana hata robo ya uwife material ila linapokuja swala la kitandani asee nashindwa hata kuelezea hapa, she is🔥🔥🔥🔥🔥 Nataka kumpiga chini coz nikiendelea kua nae ntajifunga, huko mbele sitoweza kumkimbia...
  4. kunta93

    Napenda akiwa na uwazi katikati, huwa navutiwa sana

    Sijui kwanini ila ndo ugonjwa wangu, mtoto akiwa ana space katikati ya mapaja yake/mapaja yaliokataana/kila paja liko upande wake(thigh gap) mimi hua sichomoi. Mchina kama anaweza fanya hii pia mniambie nimpeleke baby mama😊. Wewe pia unavutiwa?
  5. kunta93

    #COVID19 Je, Corona phase II imeisha Tanzania?

    👉 Upinzani wa mtandaoni (keyboard opposion) ukiongozwa na Kigogo, Maria Sarungi na fatuma karume ulilipigia sana kelele ila sasa hawalizungumzii kabisa licha ya serikali kutokubadilisha msimamamo wake juu ya janga hili 👉 Viongozi mbalimbali wameondoka katika kipindi cha hivi karibuni huku...
  6. kunta93

    Una mpango wa ku-date na mke wa mtu? Zingatia haya

    1: Mke wa mtu unapiga mara Moja.ukinogewa shauri ako. 2: Tafuta njia mbadala ya kuwasiliana nae.iwe ya tofauti.mimi hua natumia email,natuma email ndefu af ujumbe unakua katikati 3: Usitumie guest/lodge Moja.ue unabadilisha badilisha ikibidi hata maeneo pia.leo unapgia kibaha,kesho mbagala...
  7. kunta93

    Dear ladies kuweni makini sana, kuna washamba wa teknolojia

    Salaam, Tupo washikaji kumi Na tatu ambao tuna aminiana sana na tunatunziana Siri. Tuna group la whatsap ambalo unaeza tuma chochote na hakieza toka nje ya hilo group Na tuliapishana kabisa hata mawife wasichungulie mle,so content yoyote unashare na wana,privacy guaranteed That's not a...
  8. kunta93

    Nimeoa nina miezi miwili lakini naona kero kwa mambo haya

    Nina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa 1: Ku deal Na wakwe Na mashemeji kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha maana Na akaforce muongee nusu saa Na huezi mkatia simu.tena bora awe mjini wakiwa wa vijijini...
  9. kunta93

    I am a straight guy,but am attracted to lesbians

    Members Mimi ni mwanaume ambae niko kwenye early 30's I have a girlfriend and we love each other a lot ila Nina tatizo moja la kuvutiwa na ma lesbians sijui kwann Nikigundua tu wadada flan wanasagana basi navutiwa nao sana na napenda niwe karibu nao Sijui Nina tatizo gan?,au in psychological...
  10. kunta93

    Ushawahi kushiriki fiesta a.k.a mtungo?ilikuaje

    Kipindi tupo likizo form six ila tulikua tumebaki shule kuna ka dem ka form four shule jirani kalikuja kutuomba tue tunakafundisha tukakubali tukawa tunakafundishia room.Siku mmoja kamekuja kula shule kakanikuta peke angu si nikaanza kukachezea mwisho kakakubali kuachia mzigo.ile naanza kula...
  11. kunta93

    An enemy revealed is an enemy defeated

    1: Kwenye siasa ukishagundulika una nia,wenye nia wenzako huanza kudeal nawew ili wakumalize mapema 2: Katika kudeal nawew kuna mambo watayafanya kwa mfano,watadhoofisha mtaji wako(coro-show),watakutega(wito),watakuchafua(kifatacho ITV) na kukutia woga 3: Kwenye siasa ni vzuri kukaa karibu na...
  12. kunta93

    Naombeni dawa ya usaliti

    Habari zenu wana janvi!!,naamini mko Salama mkiendelea kuisaka shilling ya jiwe... Japo ni ndefu kidogo,Tafadhali soma ili unisaidie..... Mimi naitwa Emma mkazi wa Dodoma.Kipindi Niko form three katika shule moja huko tabora nilibahatika kupata rafiki mmoja alieitwa Roger. Maisha yangu yote...
  13. kunta93

    Kwa aliyeomba chuo cha CBE majina yametoka?

    Kama wew umeomba chuo cha CBE 2018/19 naomba tupeane updates ili kujua nini kinaendele
  14. kunta93

    Mikopo kwa continuous students

    Kuna continuous students yoyote ambaye amekwisha pata mkopo mwaka WA 2015/2016??au kama Kuna mtu WA bodi au ameshawasiliana na bodi ya mikopo juu ya hili swala naomba atujuze...
  15. kunta93

    Mkopo kwa continuous students

    Jaman wapendwa,Mimi Ni mmoja WA continuous students walio omba mkopo niko Udsm mwaka WA pili,nilikua nauliza kama Kuna mtu Ana taarifa juu ya hatma yetu atujuze hapaa plzz
Back
Top Bottom