Search results

  1. C

    Uhusiano kati ya umri na kudumaa kwa akili

    Huwa nasikia mtu umri ukienda akili zinarudi kama mtoto, eti kuna uhusiano gani kati ya kuwa na umri mkubwa na akili kudumaa au kurudi nyuma?
  2. C

    housegirl

    jamani natafuta dada wa kazi mwenye access nae anisaidie,asiwe mdogo sana awe na umri at least kuanzia miaka 18 na kuendelea
  3. C

    Kwema?

    nimepita kuwasabahi jamani kwema humu ndani?
  4. C

    Natafuta mume anayeishi na virusi vya UKIMWI

    Habari wana jukwaa, Mimi ni binti mwenye umri kati ya miaka 25 hadi 30 na mwaka 2010 wakati niko kwenye maandalizi ya ndoa na aliyekuwa mchumba wangu tuliambiwa tukapime, na ndipo nilikutwa nikiwa na maambukizi wakati mchumba wangu alikuwa mzima, tulipanga kuachana kwa siri bila kutoa sababu...
Back
Top Bottom