Search results

  1. MsamiKowalski

    Bodi ya mikopo kuhusu Continuing Stedents na First year ambao hawakupata mkopo.

    BW Hamis Chagonja. Zaidi ya wanafunzi 52,000 wa mwaka wa kwanza watanufaika na mkopo wa elimu ya juu baada ya serikali kuongeza kiasi cha fedha sh 132 bilioni kwaajili ya kugharamia masomo yao ya mwaka wa masomo 2015/2016. Akizungumza na gazeti la MWANANCHI, kaimu mkurugenzi mtendaji wa bodi...
  2. MsamiKowalski

    Ujerumani yaipa Tanzania ndege mbili

    Ujerumani imeipatia Tanzania ndege mbili kwa ajili za kufanyia doria katika mbuga zetu ili kukabiliana na ujangili, ndege zitapitia nchini Kenya na kisha kuja Tanzania. Hayo yamesemwa na waziri wa ujerumani alipofanya ziara yake Tanzania katika mji wa Arusha. Chanzo: Radio One Stereo
  3. MsamiKowalski

    Sumaye aibuka tena

    Ni baada ya kukaa kimya baada ya uchaguzi mkuu kuisha, sasa aibuka tena. Una kipi cha kumwambia kwa kuibuka kwake na matamko hayo?
  4. MsamiKowalski

    SWALI:Kuna uhusiano gani wa kimavazi na ufaulu kimasomo?

    Wakuu, naomba kuwauliza kama kuna mwenye uwelewa juu ya uhusiano wa wanafunzi wa shule hasa sekondari, mfano: kuvaa MODO, MILEGEZO kunachangia vipi kufeli kwao? Na wanafunzi kuvaa sare za shule kwa heshima, mfano: kutokuvaa MILEGEZO,MODO n.k kuna changia vipi kufaulu kwao katika masomo...
  5. MsamiKowalski

    Kati ya BBC Swahili na DW Kiswahili, ni ipi idhaa pendwa zaidi?

    Wakuu, naomaba kujua toka kwenu! Tunapata matangazo ya moja kwa moja yanayotoka ughaibuni ktk lugha yetu pendwa ya KISWAHILI kupitia idhaa mbali mbali kama vile: Shirika la utangazaji BBC London Idhaa ya Kiswahili Dewtsche Welle(DW Kiswahili) Born Radio France international (RFE...
  6. MsamiKowalski

    Msaada wa vitanda na magodoro 30 watolewa Muhimbili

    Kampuni ya Golden Fleet LTD na Golden Coach LTD Wakabidi magodoro 30 na vitanda 30 Muhimbili Leo. Mkurugenzi mtendaji wa kampunu hizo Bw.Mohammed Raza Dewj (kulia) akimkabidhi Afisa uuguzi wa idara ya uuguzi na Ubora wa Taifa muhimbili Bi.Mariana Makanda(kushoto).
  7. MsamiKowalski

    MI SIMO: Dr Magufuli wanamkopi vibaya jamani...

    MKE:Jamani Mme Wangu ndio tabia gani hiyo kuja mpaka jikoni na kuanza kuonja mboga.. MUME: Hapa Kazi Tu, nimefanya ziara ya ghafla kama MAGUFULI.
Back
Top Bottom