Search results

  1. ffrrank

    Naomba kujua ukweli wa hili

    Habari wana JF, Naomba kujua kama kuna ukweli kuhusu jamii ya miti inayo pendelewa kupandwa kwa ajili ya kivuli ambayo matawi hukua kwa ngazi siifahamu jina ila naijua kwa jina maarufu mingazi. Kuna tetesi kuwa hii miti haifai kupandwa hasa maeneo ya nyumbani kwa sababu za kiimani, je wa kuu...
  2. ffrrank

    Msaada Jinsi ya kutumia laini ya simu kwenye laptop

    Habari za majukumu wana Jf ,nina laptop ambayo ina sehemu ya kuweka lain ya simu nimejaribu kuweka lakin sijaona iki fanya kazi. Naomba kujua kama inaweza kufanya kazi.
  3. ffrrank

    NOKIA N8, N9

    Kwema wana JF naomba kuuliza kama naweza kupata mojawapo ya hizo simu ikiwa bado mpya
  4. ffrrank

    Fujitsu LIFEBOOK AH531 Notebook

    Ninauza fujitsu laptop AH531 Lifebook Windows 10 -Processor: Intel(R) Core(TM) i5-2410M CPU @ 2.30GHz -RAM; 4.00GB -Dsck; 500GB -System type; 32-bit Operating System x64-based processor Ipo katika hali nzuri pamoja na charger yake ,bei ni Tsh 650,000/= una weza pia ku google kuangalia sifa na...
  5. ffrrank

    Ushauri: Kuna tatizo lolote kukaa karibu na wakwe?

    Habari za majukumu wana Jf! Mimi naomba kujua kama kuna tatizo la kuishi karibu na wakwe wa mke sababu mimi bado sijaoa hukunilipo sio mwenjeji. Katika harakati za maisha nimejipiga piga nikajijengea ka nyumba kangu lakini nimejikuta kupenda msichana mmoja karibu na kibanda changu hicho...
Back
Top Bottom