Search results

  1. M

    Ameahidi kumpa jibu tar 24 mwezi huu

    Wakuu, Kuna jamaa angu alimtokea dada mmoja kitaani kwetu toka mwezi wa saba. Kamfatilia wee eti leo ndio kamwambia atampa jibu tar 24 mwezi huu. Je ni haki kweli kumtesa mwenzio miezi yote hiyo? Nawauliza nyie kina dada, kuweni na huruma jamani Ebro.!
  2. M

    Tusiishie kufanya usafi wa nje tu???

    Hata wa ndani ni muhimu sana
  3. M

    Pamoja na kukwepa kodi mitaani bei za bidhaa zipo juu, itakuwaje mbeleni?

    Kama tuonavyo bidhaa zimekuwa bei juu kila siku zinavyosonga mbele, pamoja na kuona kumbe kuna wafanyabiashara wanakwepa kulipa kodi. Hali itakuwaje endapo wataanza kulipa kodi ipasavyo? Kwa upande wa serikali itaongeza mapato kwa kiasi kikubwa, vipi kwa wananchi hii haiwezi kupelekea bidhaa...
  4. M

    Heshima yenu wakubwa mimi ni mgeni

    Kama inavyosomeka hapo juu, natumaini nitapata ushirikiano wa kutosha kutoka kwenu. Asante
Back
Top Bottom