Search results

  1. G

    CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

    Mkasome kwanza sheria ya utumishi wa umma ya 2003 na kanuni zake pamoja na kanuni za kudumu za utumishi wa umma (standing orders) ya 2009. Ndo mje tujadili huu uzi. Lakini kwa ufupi ni kwamba kuna dirisha huwa wazi kama kuna nafasi ya kisiasa inayogombewa ili kupisha watumishi wa umma kushiriki...
  2. G

    Gazeti la Mawio acheni kuweweseka na propaganda zenu hizo

    Mawio ni gazeti la wasomaji wavivu wasioweza kufikiri kwa upeo mpana! Nilikuwa mpenzi msomaji wa Mwanahalisi na hatimaye Mawio lakini kwasasa nayaona kama magazeti ya kugandisha ubongo na ni uchafu kwa mazingira.
Back
Top Bottom