Search results

  1. kyle2810

    Ni wapi Tanzania kuna mfumo wa unenepeshaji (Feedlot Experts)

    kipind cha nyuma wakat nasoma, Tuliwah kwenda kongwa ranch, Tulikaa pale miez miwil na walikua wanafanya wananenepesha wanyama. Kile walikua wakifanya walikua wananunua ngombe ambazo zina umri wa mwaka mmoja au karibia mwaka mmoja then wanawapiga lishe wanachunga wakirud wanapewa lishe nzur na...
  2. kyle2810

    Miembe imetoa maua mengi lakini yanapukutika yote, nini shida?

    Hajajib ila nimsaidie, swal la jamaa halikulenga kufanya mmea utoe maua, kufukuzia Moshi mmea husaudia mti wa matunda kutoa maua, hii ni kwa sababu moshi una kuwango kizur cha ethylene ambayo mmea ukichukua huyo ethlene huchochea uzalishaji wa maua. mmea ni kitu chenye akil sana ndio maana...
  3. kyle2810

    Natafuata kazi ya Mifugo au Kilimo

    Naitwa Emmanuel Harold nipo Morogoro, Nina Diploma ya Animal.Health, Pia nina Degree ya Agriculture Extension. Ninatafuta ajira popote pale. Maana maisha yamebana na ajira imekua changamoto kwa sasa. Popote pale nipo Tayar kufanya kazi.
  4. kyle2810

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Akipoteza mechi bas burnley yupo matakon kwake anamkaribia bado point 3 zitakazombeba ni magoli tu
  5. kyle2810

    Natafuta ajira ya mifugo either ranch au dukani

    Naitwa Emmanuel Harold, ni muhitimu wa masomo ya mifugo na uzalishaji, nimemaliza mwaka 2016 katika chuo cha lita morogoro, nikafanikiwa kupata Diploma ya animal health and production, na kufanikiwa kufanya kozi ya mafunzo pia katika ranch ya kongwa na wilaya ya kilosa, Ombi langu ni kupata...
Back
Top Bottom