Search results

  1. A

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    You commented just because you have an electronic device, not because you have knowledge on football. How do you consider a club as big in football? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. A

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Daaaah, ushindi wa Man Utd ni kilio kwa watu kibao. Yani watu povu haliwaishi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    The Official Azam FC Thread

    Yahya Zayd Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    The Official Azam FC Thread

    FT Vipers 0-1 Azam FC Sent using Jamii Forums mobile app
  5. A

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Yani haters bana, watu wameumia mno ila ndo kwanza show inaanza Sent using Jamii Forums mobile app
  6. A

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkuu ile shuti mwenyewe wala sikutegemea aisee. Dogo ni shida Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ila Mou sijui anamkazania nini Felaini, Angemuacha tu asepe maana hadi zile tetesi za kuondoka naona zimezima kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. A

    The Official Azam FC Thread

    Leo pia tumeshinda 3-0 huko Uganda Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    4G Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    Tochi za barabarani sasa faini 200,000. Tanroads wasema faini hiyo ni halali ipo kisheria

    Waafrika bana [emoji16][emoji16][emoji16] yani issue ndogo imekuwa mjadala. Kwanini utokwe povu ilhali ukitembea bellow 80Km/hr hauna shida. Ajali zikiwa nyingi lawama, ikiwekwa njia ya kuzuia lawama. Sisi wenye haraka tupande ndege, na kama tunakoenda hakuna routes za ndege tukodi Sent using...
  12. A

    Tochi za barabarani sasa faini 200,000. Tanroads wasema faini hiyo ni halali ipo kisheria

    Mkuu nataraji utahiji na ambulance!! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    Usahihi wa taarifa toka Nkasi

    Ikiwa wewe ambaye hata jiografia ya nchi yako huijui unasemaje mbunge hamuelewi. Yani ukisikia Nkasi unadhani Mbunge ni Ally Kessy pekee, kumbe Nkasi ni wilaya na ina majimbo Mawili, Nkasi Kusini (huko mleta uzi anakozungumzia) na Nkasi Kaskazini kwa Ally Kesy huyo unayemaanisha wewe...
  14. A

    Usahihi wa taarifa toka Nkasi

    Mbunge wa Nkasi ipi? Kumbuka kuna Nkasi Kaskazini ambako Mbunge ni Ally Kessy (nahisi unamaanisha huyu sababu ndio maarufu sana) pia kuna Nkasi Kusini ambako kuna mbunge mwingine na Kijiji cha Ntuchi (kilichotajwa) kinapatikana huko Sent using Jamii Forums mobile app
  15. A

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Pia hizi critics anazosukumiwa Pogba zinamfanya muda mwingine kutokuwa free kiakili uwanjani. Tumtie moyo bado ni mchezaji mzuri sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. A

    Tukumbushane miradi muhimu iliyoanzishwa na Kikwete lakini ikazikwa na Magufuli licha ya kuwa muhimu

    Mkuu wabunge wanapanga, kupitisha au kukataa bajeti na sio kutekeleza bajeti. Kazi ya ujenzi wa miradi ni ya serikali sio Bunge. Hata waliomtangulia walikuwa na tabia hii ya kutembea na hela, wakiambiwa shida ndogo wanatoa hela hapohapo nadhani kwa Magu imekuwa shida sababu yeye anatoa direct...
  17. A

    Tukumbushane miradi muhimu iliyoanzishwa na Kikwete lakini ikazikwa na Magufuli licha ya kuwa muhimu

    Kwanza ulitakiwa uelewe maana ya Mradi kabla ya kupost. Lakini kumbuka kuna miradi ilianzishwa tangu awamu ya kwanza wakaja kuimalizia waliofuata na mingine hadi leo haijafanyiwa kazi. Hii ina maana kuwa kila kiongozi anakuwa na mtazamo na matakwa yake. Fikiri Obamacare kule Marekani, Trump...
  18. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sasa mtakuwa na Threads ngapi? Au huu ni wa wenger Out na ule wa long time wenye fans kibao ndio Arsenal damu Sent using Jamii Forums mobile app
  19. A

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Niliuliza humu ni Likes pekee, hakuna kingine, nikapigwa Likes [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  20. A

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Pamoja na kuwa West Ham wamefanya mabadiliko mazuri katika kikosi chao ila kesho tunachowaza ni ushindi tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom