Search results

  1. B

    Augustine Mrema Atunukiwa PhD

    Ukilinganisha na Mkwere nadhani mrema ana deserve kwa sababu cv yake ni kubwa kuliko ya mkwere.
  2. B

    Star tv yageuka kero kwa watazamaji

    Lakini star tv wamezidi halafu mara nyingi tatizo hilo linapotokea hawajali wanaendelea na kipindi kana kwamba hakuna tatizo lolote. Bora wengine tatizo likitokea wanawahi kuweka matangazo na kurekebisha. Sijui kama kuna mtangazaji wa star tv ambaye hajawahi kututangazia hewa. Wote kuanzia jacob...
  3. B

    Wanachuo wa Ustawi wamtimua Mkuu wa Chuo

    Kama ni hivyo basi wanafunzi hawajamng'oa bali mkataba wake umemalizika suala la kutaka ku renew hatulijui tunajua mkataba wake umeisha juzi tarehe 2/2/2011 kama angeondoka kabla ya mkataba kuisha tungesema kweli ameng'olewa.
  4. B

    Star tv yageuka kero kwa watazamaji

    Mbona nyingi tu ambazo sio za siasa zinawekwa kwenye jukwaa la siasa? Ukweli ni kwamba jukwaa la siasa lina wapenzi wengi sana kuliko majukwaa mengine.
  5. B

    Polisi wavunja maandamano ya Wanafunzi UDSM; Watawanywa kwa mabomu ya machozi

    Kazi ipo kweli ikulu ni mzigo!!! Ningekua mimi ndo bosi wa ikulu ningeachia nchi nikaendelea kula pensheni.
  6. B

    Star tv yageuka kero kwa watazamaji

    Kinachosikitisha zaidi sio kukatika kwa sauti bali ni pale sauti inapokata hala jamaa wanaendelea kutuachi picha zisizokua na sauti kwa muda mrefu tu na mafundi wanatulia tu.
  7. B

    Maandamano Chuo Mlimani

    Madai ya ongezeko la pesa za kujikimu sio ya udsm peke yake bali ni vyuo vyote vya umma na vya binafsi. Nadhani ingekua jambo la msingi sana kama DARUSO wangewashirikisha viongozi wa vyuo vingine ili ku organize a nationalwide move hii ingekua bora zaidi otherwise itaku rahisi kwa serikali ku...
  8. B

    Maandamano Mabibo Hostel

    Wanaandamana kuelekea wapi mbona taarifa ziko juu juu.
  9. B

    Maandamano Makubwa ya wanafunzi Posta kuelekea Ikulu

    Ni haki yao ya kikatiba kuandamana kwa amani na huko ndio kukua kwa demokrasia.
  10. B

    Colman Mboya anena: Msizibeze shule za kata. Msimamo wako wewe ukoje?

    TBC nao wakati mwingine wanakosa habari za kutuonesha. Mtu 1 anapopata div 1 halafu hakuna div 2 unategemea nini? Tbc wanajaribu kutuonesha kwamba serikali ya ccm haikukose ilipoamua kuanzisha shule za kata bila kufanya maandalizi. Shule za kata bado ni tatizo ndio maana hata wazito hawapeleki...
  11. B

    Star tv yageuka kero kwa watazamaji

    Thursday, February 03, 2011 Wana jamvi napenda kutumia muda huu kuelezea masikitiko yangu kuhusiana na suala la tatizo la sauti ambalo sasa linaelekea kuota mizizi na kua kero kwa watazamaji wake wanaofuatilia vipindi mbalimbali hasa vipindi vya tuongee asubuhi na taarifa za habari. Kitu...
  12. B

    Star tv yageuka kero kwa watazamaji

    Thursday, February 03, 2011 Wana jamvi napenda kutumia muda huu kuelezea masikitiko yangu kuhusiana na suala la tatizo la sauti ambalo sasa linaelekea kuota mizizi na kua kero kwa watazamaji wake wanaofuatilia vipindi mbalimbali hasa vipindi vya tuongee asubuhi na taarifa za habari. Kitu...
  13. B

    Julius Mtatiro apandisha jazba kuhusu Tamko la Chadema kutoungana na CUF Bungeni

    Ukweli ni kwamba mtatiro kapotea njia. Kama angesoma alama za nyakati mapema sasa angekua ameshikilia jimbo lake akisubiri kuingia bungeni mwezi huu maana upepo wa chadema mwaka huu haukua wa kubahatisha.
  14. B

    DOWANS yatikisa UDSM; Wanafunzi kuandamana leo...

    Wanachuo wana haki ya kuandamana na kudai ongezeko la pesa ya kujikimu kutokana na kupanda kwa garama za maisha zinazoongezeka kila siku. Kiasi cha sh. 5000 kwa siku kilianza kulipwa mwaka 2007 na leo miaka 4 imepita. Ukijaribu kuangalia ongezeko la bei ya bidhaa mbalimbali utagundua kwamba ile...
  15. B

    Wanawake wetu huko UK

    Thread nyingine bwana sinachosha hata kusoma!
  16. B

    Gazeti la mwana halisi linastahili pongezi!

    Hata kama ni kazi yao wanastahili pongezh. Mtuyoyote anapofanya au kutimiza wajibu wake vizuri anapongezwa, ndio maana hata maofisini kuna zawadi na tuzo ya mfanyakazi bora. WAO wanatimiza wajibu wao vizuri hivyo wanastahili PONGEZI. Na wale wasiotimiza majukumu yao vizuri tunawapa vidonge vyao...
  17. B

    Mwanafunzi afariki St Augustino University Mwanza kwa kukanyagwa na wenzie

    Kama ni hivyo basi watu wanaoweka post humu wasikurupuke bila kua na uhakika na kile wanachokiandika. Ni bora ukatafuta zaidi ya chanzo kimoja upate uhakika zaidi kuliko kukurupuka na kuwashutumu wanafunzi kwa kitu ambacho hawajakifanya. Vinginevyo ni bora ukaandika kwamba hiyo ni tetesi.
  18. B

    Mwanafunzi afariki St Augustino University Mwanza kwa kukanyagwa na wenzie

    tukio hilo linasikitisha sana. Pamoja na hayo napenda kumsahihisha aliyeweka thread hii hapa jamvini. Mosi, mwanafunzi ni mwanafunzi bila kujali ana umri gani au yuko mwaka wa ngapi. Mara nyingi mtu akishakua mwanafunzi anaweka umri wake pembeni. Pili, suala la uhaba wa vyumba vya kusomea sio...
  19. B

    Nauliza. Huyu ridhiwani ni nani??????

    Riz 1 is a mere tanzanian or if you like you may call him a lumpen proletariat.
  20. B

    Chadema waitosa rasmi CUF kambi ya upinzani bungeni.

    Chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kimesema hakiko tayari kukishirikisha chama kilichoko serikalini kwenye kambi ya upinzani. Katibu mkuu wa chama hicho amesema chama hicho cha chadema kiko tayari kuvishirikisha vyama vingine kwenye kambi hiyo endapo vitasitisha uhusiano na chama cha...
Back
Top Bottom