Search results

  1. Jiran mwema

    INAUZWA Nauza Refrigerator aina ya FrigoGlass, Niko Mwanza

    Habari Wanajamvi! Wacha niende Moja kwa Moja kwenye Maada yangu. Nina shida ya kifedha, hivyo nalazimika kuuza friji yangu aina ya frigo. Glass(650Ltrs)nimeitumia miezi mitano tu, kwamaana hiyo Bado ni mpya na iko kwenye hali nzuri. Bei ni Tshs 650,000/= Kwa mawasiliano nicheki 0745 493961
  2. Jiran mwema

    Msaada: Nimepoteza laini ya uwakala(m-pesa)

    Habar zenu wana Jamvi Kama kichwa cha uzi hapo juu,Nimepotelewa na lain yangu ya uwakala na kuna pesa ndan yake nashindwa nifanyeje ili niirudishe. Kwa wenye uelewa tafadhar nipeni mwanga. Note:Hiyo lain nilinunua kwa mtu hivo nyaraka zake sina maana(Haikua na Jina langu).
  3. Jiran mwema

    SIMU INAUZWA

    Habar wanajukwaa! Bila kupoteza mda,simu aina ya Tecno C9 iko sokon,iko katka hali nzur kabxa wala haina shida yoyote ile Kwa ambae atahitaj bas afanye kuni-PM
  4. Jiran mwema

    Kutoka mwanza natafuta mwanamke wa kufanya naye biashara ya matunda

    Mim ni kijana umri miaka 23,ninahitaji mdada ambae yuko tayari kufanya nami biashara ya kukatakata matunda na kuyapaki kwenye sahani kisha kwa kila sahani ya matunda bei ni 1000/= Kuhusu malipo na maelekezo mengne nitafute Kupitia namba 0765864125 Au unaweza kuni PM
  5. Jiran mwema

    Wanaume wote tuwe na wazo moja

    Habar za Mida wanajamvi! Kimsingi sitaki kusema mengi Kwan kichwa cha uzi kishajieleza hapo juu. Imefikia hatua ambapo gharama za maisha zinapanda kwa kasi Sana na CHANZO kikubwa kikiwa ni Hawa Dada zetu. Yaan kupendana mnapendana wote Lakin ukitaka mkaishi pamoja kama wife & husband inabidi...
  6. Jiran mwema

    Ushauri: Nataka nimfuate binti yangu mkoani Kagera

    Habari za weekend Wana JF, Poleni na mihangaiko ya kutafuta riziki. Kilichonifanya niandike uzi huu ni kuomba msaada wa mawazo kutoka kwenu kama kichwa cha uzi hapo juu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, nilitokea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdada fulani wa kiislam miaka mitano...
  7. Jiran mwema

    Nimeacha mapenzi

    Habari wana JamiiForums, Katika maisha yangu sikuwahi kufikiria kama ipo siku nitaamua kuachana na suala zima la mapenzi ila kwa yaliyonitokea sina budi kusema SITAKI TENA MAPENZI. Nilikuwa na mpenzi tuliependana sana lakini kaumiza moyo wangu, ameuacha moyo wangu ukivuja damu. Eti wanajamii...
  8. Jiran mwema

    Sioni kwa sababu kwanini nisimpendelee

    Evelyn Salt ni msichana mrembo ambae kafaulu kuiteka akili yangu kwa kiwango cha kuifanya akili yangu isione kasoro kwake,Umbo namba 8,rangi ya ngoz na weupe wa macho Yake ya mduara vinanikosesha sabab za kwann nisimpendelee!? Ana kitovu kilichobonyea ndan mithili ya kizibo cha Saint...
  9. Jiran mwema

    Natafuta mwanamke ambae Ana umri mkubwa na hajaolewa

    Habar za jion wanajukwaa! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 ninaishi mwanza! Ninatafuta mwanamke mweny vigezo vifuatavyo 1:Anizid umri kama miaka mitatu na kuendelea 2:Awe mtanzania 3:Awe hajaolewa Hii uzi una maana kubwa xna Kwangu kwahyo tafadhar wew mwanamke mweny sifa tajwa hapo juu...
  10. Jiran mwema

    Sms Yake inanichanganya. Nifanyeje??

    Kuna mdada ambae tumedumu kimahusiano kwa miaka mitatu Sasa, upendo wangu kwako ulizid kuongezeka kutokana na Ile Hali ya kumkuta bikra, nilimpa vyote alivyostaili kupewa mwanamke. Kilichonifanya niandike uzi huu ni baada ya mwanamke nimpendae kusafir kuelekea Dar kujiendeleza na masomo Yake...
Back
Top Bottom