Search results

  1. S

    Ghetto langu lilinisaliti; Mrembo akanikimbia

    Ningeshangaa asiliwe 😂 Sema umeruka tuta maana alianza kukukataa nguvu za kiumeee
  2. S

    Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

    akikuomba hela ya kutuma mzigo. utajua hujui.... zawadi ya ghaflaaa tuu.... 😂😂😂😂😂😂
  3. S

    True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

    dah..... pole asee.. leo kila uzi wa jf naokutana nao ni majonzi tu kha 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
  4. S

    Wanaume wengi wanaamini wanawake wenye sura na maumbo mazuri hawafai kuolewa, ila wenye sura mbaya wanawatesa kwenye ndoa

    Umeongea kwa hisia sanaa. Anyway tumekuelewa Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  5. S

    Kimboka, Sudan, Sokota cha mtoto, hata Sodoma na Gomorrah yenyewe haifui dafu kwa mtaa huu

    Hapo davis corner toa maelezo vizuri embu.. nakajionee yaliyomo yamo
  6. S

    Gerson Msigwa kubali makosa. Tulipaswa kuwa na Aerial Cranes hata nne. Mnanunua mashangingi mnasahau vifaa vya kuokolea kwenye majanga

    Kwa kweli kwa upande mwingine ni kama aibu kwa taifa ila wajifunze kwenye makosa nadhani itasaidia kuokoa mengine
  7. S

    Wazazi wengi wa Mtwara wana tabia ya kubadilisha majina ya watoto kisa talaka

    Kubadilisha jina hakuondoi uhalisia kuwa ndio baba au la.. labda ni uelewa tu
  8. S

    Fanya haya kuifanya sound system yako idumu kwa muda mrefu

    umenifundisha kitu mkuu. shukrani sana
  9. S

    Kama kula kwako ni kwa shida, nakushauri usioe

    Umeongea vema sana, vizuri sanaa
  10. S

    Mambo ya muhimu kuzingatia kwa wale tunaoomba kazi

    umenipa somo kubwa sana. ngoja nizifanyie kazi zile point zinazonihusu
  11. S

    shared vs dedicated internet? Speed na idadi ya watumiaji

    Nimejifunza kitu. ila nina swali kwenu wakuu je wa huku mikoani mbona hizi huduma sizioni kabisa. mpaka leo kuna makampuni fulani bado wanaunga bando za line.. ni kwamba watoa huduma huku mikoani wamepatelekeza mkuu nisaidie hapo inakaaje ilo
  12. S

    Kama upo chini ya miaka 40 usitumie pesa kuyapata mapenzi ya wanawake

    Hapa hatujazungumzia date outing maana izo unaweza enda na baadae kila mtu akarudi alipotoka. alichosemea mkuu ni kwamba kumpa mtu hela ili upate utelezi hiyo ndio sawa na nikaunga mkono hoja. date outing pale ni kama refrement kati yenu tu
  13. S

    Kama upo chini ya miaka 40 usitumie pesa kuyapata mapenzi ya wanawake

    Mpare kafikaje kwenye hili swala tenaaaa...mkuu
Back
Top Bottom