Search results

  1. T

    Nimeitwa katika usahili

    Habari wana jamii forum Natanguliza shukrani za dhati mbele yenu, ningependa kupata msaada kidogo juu ya hilli Nimetumiwa meseji kwa njia ya email inayohusu kwenda kufanya ushahili kwa nafasi niliyo omba ambayo ni FIELD EDUCATOR SUPERVISOR Kampuni inaitwa DKT INTERNATIONAL LTD under Willow...
  2. T

    HUITAJI WA NYUMBA YA KUPANGA

    Naitaji nyumba ya kupanga yenye sifa zifuatazo Location== Kimara/mbezi ya tegeta Chumba ni kimoja kiwe na Choo ndani Maji ya kutosha Kiwe kikubwa Gypsum but not necessary Tiles Kisiwe mbali saana na main road Usalama wa kutosha kisiwe na mauza uza(NB)
  3. T

    Mke wangu anatokwa damu wakati wa tendo

    Habari wana jf wenzangu??, heri ya sikukuu ya eid kwa waislamu wenzetu. Kuna tatizo linanitatiza kidogo kuanzia leo usiku ambalo limempata mke wangu Mke wangu ni mjamzito wa mwezi mmoja, kuanzia jana kila tukifanya tendo hutokwa na damu kiasi hali ambayo hupelekea uume wangu kutapakaa damu...
  4. T

    Nahitaji girlfriend

    Mimi ni kijana umri 27, nahitaji galfrend, sifa zozote sichagui aliyetayari ani pm
  5. T

    Ni wapi zilipo Ofisi za Azam Media?

    Wadau, Nielekezeni Azam Media Ltd headquarters iko wapi kwa hapa Dar es salaam?
  6. T

    Msaada kuhusu vicoba saving

    Wadau nimeskia kuna taasisi inaitwa vicoba saccos saving inajihusisha na kuwasaidia wajasiliamali kuwapa mikopo ya riba nafuu na dhamana yake ni.ndogo pia(ela) ila naskia wanatoa kupitia online system sasa ningependa kujua ni kwel?? Au isije kuwa waongo nisaidie wadau juu ya hili jambo...
Back
Top Bottom