Search results

  1. G

    Mwigulu aufukuza uongozi wote machinjio ya Ukonga. Akuta ng'ombe 200 wakichinjwa bila kibali

    Siku hizi hata simu za mashaidi zinaweza kufanya hiyo kazi
  2. G

    Alihukumiwa kwa kosa la kuua, baada ya kifungo amemkuta hai akamuua, je atahukumiwa tena?

    Atahukumiwa kwa mauaji, yeye alipaswa kuishitaki mahakama kwa kumfunga kwa kosa asilolifanya. Na afidiwe miaka 23 aliyopotezewa
  3. G

    Jinsi ya kumuona mchawi kama wewe si mchawi kwa kutumia limao

    Kama uamini Chochote basi hii ni mjadala kwa wanaoamini. Tunakua hatuna point of intersection na wewe
  4. G

    Jinsi ya kumuona mchawi kama wewe si mchawi kwa kutumia limao

    We utakuwa mchawi namba moja, biblia inasema usimwache mwanamke mchawi aishi
  5. G

    Yehova witness kutimuliwa kwa kukataza wanafunzi kuimba wimbo wa taifa!

    Sheria yoyote itakayolala kuiridhisha serikali kwa wema, inaridhiwa na mungu. Bora asiape kwa chochote
  6. G

    Yehova witness kutimuliwa kwa kukataza wanafunzi kuimba wimbo wa taifa!

    Alisema kama amuamini mungu tutatafuta namna ya kumwapisha, ambayo itamfunga kwa mungu tena
  7. G

    Tazama watoto wanavyochagua wazazi kabla hawajazaliwa

    Imempasa mtu kuishi mara moja na baada ya kifo hukumu
  8. G

    Yehova witness kutimuliwa kwa kukataza wanafunzi kuimba wimbo wa taifa!

    Nyerere alisema hatumchagui mtu asiyeamini Mungu. Marekani dollar imeandikwa in God we trust. Kwa hiyo wimbo wa taifa unamtambua Mungu muumba mbingu na nchi. Hao miungu wengine ni shughuli yako mwenyewe
  9. G

    Ondoa ''misconception'' kuhusu Wanyarwanda

    Hiyo long term yake weka juu longterm agenda yako, unakula raha. Furahia kitu laini ukiwa hai
  10. G

    Swali la Ugomvi: Ni Kina Nani Wasiotaka Magufuli Afanikiwe na Kwanini?

    Ni vizuri wamchukie wengine, kwa sababu hata yesu alichukiwa na hata sasa wapo wanaemchukia, ndio maana alisema'ole wenu ninyi ikiwa watu wote watawanena vizuri'
  11. G

    Ondoa ''misconception'' kuhusu Wanyarwanda

    Afadhali wewe yaani mimi nilikarimiwa kama mtoto mchanga, naamshwa napewa chupa ya maziwa, maji moto, tabasamu bashasha, hugs , mi siku zote huimisi rwanda. One thing hata ukipata mwanamke huko love her , but be very strong in heart
  12. G

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Walioongea kwa utaratibu walitufaa nini? Hotuba zake hazieleweki kwa mafisadi, lakini mi nazienjoy kichizi. Yaani zote tatu zipo kwenye Simu.we kama uelewi ni shughuli yako, labda hamko level moja, Yule ni dkt, lazima upanue akili ili umwelewe. Amesema anasema ukweli, na ninafurahi kuzijua siri...
  13. G

    Ishu ya Polisi kubaka, msichana asimulia (audio)

    Angemng'ata kwa kutumia magego angetoka na kipande
  14. G

    Hali ya sintofahamu Bungeni: Polisi waingilia kati, Wabunge wa Upinzani watolewa nje

    Sio wabunge wanapenda kuonekana live, sisi wananchi tunapenda tuone vipindi vya bunge, hata wakisema wananchi wachangie kurusha bunge buku buku, mi nitachangia
  15. G

    Haya mambo ya kupeleka wagonjwa India, Madaktari mko wapi?

    Naona mzee anaomba million 35 kwenye TV, wahindi wamezuia maiti india. Sasa taaluma ya udaktari ni ileile ndio maana alifia huko. Kuna tiba gani India msiyoweza nyinyi? Yanatuabisha mambo haya, tufanyeni wenyewe
  16. G

    Mitsubishi GDI Space wagon

    Kwa ukweli ni very comfortable ikiwa kwenye ubora wake, lakini inaeza sumbua spare, very sweet cars when in order
  17. G

    Mitsubishi GDI Space wagon

    Gdi gani, mitsubishi dion, airtrek au what?
  18. G

    Wakenya wanatuacha mbaaali sana Watanzania, Kwanini?

    Mtu akikuambia wewe si mwanaume, ukavua suruali na chupi hadharani ili kuonyesha umwanaume haikuongezei chochote , elekezaneni, yote tuliyakuta tukasimuliwa, pia tutayaacha
Back
Top Bottom