Search results

  1. el_magnefico

    Naomba msaada juu ya tararibu za kufuata na hatua zakufunga ndoa na raia wa kigeni

    Nafahamu hilo la katibu tawala wilaya kama mfungisha ndoa ila nataka kujua upande wa mwanamke je ni vibali gani anatakiwa awe navyo kabla ya kufunga ukiachana na vibali vya kuishi nchini(ambavyo anavyo).
  2. el_magnefico

    Naomba msaada juu ya tararibu za kufuata na hatua zakufunga ndoa na raia wa kigeni

    Habari wanajamii, kuna rafiki yangu (raia wa Tanzania anataka kufunga ndoa na mpenzi wake ni raia wa Marekani anayeishi nchini kwa kufuata taratibu zote . Hivyo nahitaji kufahamu ni taratibu zipi afuate ili aweze kufunga naye ndoa ya kiserikali.
  3. el_magnefico

    Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Mishahara imetoka ila kwa watumishi wa serikali kuu bado na mwingine alisema hadi wa mashirika.
  4. el_magnefico

    Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Nimesikia kwa watumishi wa serikali kuu bado.
  5. el_magnefico

    Msaada: Mwili kuwasha/kuchomachoma ukipata joto

    Hapana hatukuwahi kutumia dawa
  6. el_magnefico

    Wengi tunapenda kumiliki smartphone mbili na wakati mwingine hata zaidi ya mbili. Je, huu si uwendawazimu?

    Hivi uwezo wa mtu ni "uwendawazimu" kuna vitu vya msingi sana ukiachana na hilo.
  7. el_magnefico

    Nakataa goli la Mayele sio bora msimu huu, tusidanganyane

    Umeambiwa ni "goli bora" na sio "goli zuri"
  8. el_magnefico

    Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

    Yoyote ni sahihi kwa hapo wakati ikielezea kitu/vitu.
  9. el_magnefico

    Wasanii wa sinema punguzeni "Uzungu"

    Tulisoma shuleni,matumizi ya "code mixing" na "code-switching" ni kuweka msisitizo.
  10. el_magnefico

    Siri ya ufaulu ya baadhi ya shule za sekondari hii hapa

    Hii hata chuo ipo watu hawataki tena kuelewa bali wanatumia nguvu kupitia “past papers”
  11. el_magnefico

    Ukweli mchungu kuhusu kilichotokea tuzo za BET

    Jinsi unavyoelezea inaonekana ulikuwepo na wewe.
  12. el_magnefico

    Ney wa Mitego awa Msanii wa kwanza wa Tanzania kuuona umuhimu wa Katiba mpya, atoa angalizo

    Hapo ukimuuliza hiyo katiba ya zamani ipoje hana anachojua, hizi ni harakati za pimbi.
  13. el_magnefico

    Sadala (Diamond) ka-copy tena jamani

    Mzee wa spatakasi mnyama mkali naona umeamua urudi tena.
  14. el_magnefico

    Nimefurahi Diamond kukosa tuzo

    Unafki sio mzuri kama ni kweli ndio hizo harakati zenu basi mpambane na wasanii wote walioburudisha kipindi cha kampeni. ACHENI UNAFKI
  15. el_magnefico

    Nimefurahi Diamond kukosa tuzo

    Yaani unaumia na maisha ya mtu ambaye inawezekana hamjawahi hata kukaa pamoja na kuzungumza!!! Dah mtaanza kuona siku zenu soon 🤣🤣🤣
Back
Top Bottom