Search results

  1. Manyabuluba

    Tabia ya baadhi ya Wadada kulazimisha wapewe hela ya Eid inakera

    Hivi inakuaje watu hasa Wadada wanakomaa kutumiwa Pesa ya Idd? Umefunga wewe Idd wanaomba wengine na wanakomaa kweli kweli utasikia nataka Idd yangu. Nitumie Idd yangu, mpaka inafikia hatua ya kukosana na Mtu kisa hajatumiwa Idd yake, tarehe zenyewe tasa mambo hayaendi kabisa.
  2. Manyabuluba

    104 yrs old and still enjoying her self..

    Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom