Search results

  1. lizzy3639

    NIDA, nani anawaangalia utoaji wa vitambulisho vya uraia?

    Swali la msingi sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. lizzy3639

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Ndio kufanyaje huko kuroot
  3. lizzy3639

    Msaada tutani

    Habari wana jamii wenzangu naomba msaada kuhusu hizi emails za immigrants huwa ni issue za kweli maana huwa nataka kulipia hizo form lakini nasita mwenye kujua anifahamishe. Nataka kuhama Nchi
  4. lizzy3639

    Ni shida gani ipo kwenye ndoa mbona wanandoa hawaonyeshani machombezo ya mapenzi?

    Na haya majina baba mariam sijui mama leyla yanamaliza swag za malavi davi
  5. lizzy3639

    BlueBird invitation Dar inakuletea card mpya za mialiko na free printing

    Habari wana JF. Kwa wale wenye sherehe za harusi, kitchen party, send off na shughuli yoyote inayohitaji card za mialiko na michango Bluebird Invitations wanazo card mpya nzuri sana zinazoenda na wakati bei zao ni nzuri na kwa yule anayepeleka mteja anapata commission yake bila longo longo...
  6. lizzy3639

    Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua

    Hapa maandamano tu tarehe 26/04/2018 ndio itakuwa solution ya kuondokana na hawa washamba wawili
  7. lizzy3639

    Nikila pilipili au kinywaji cha baridi sana napata kwikwi, je kuna madhara kiafya?

    Ndugu zangu wenye taaluma ya afya ya binadamu, naomba kuulizwa swali dogo tu ambalo limenitatiza kwa muda mrefu sasa bila majibu. Swali: Kila ninapokula pilipili au kinywaji cha baridi sana haswa Bia inanipelekea kupata kwikwi, je kuna uhusiano gani ya vitu hivyo tajwa na kwikwi na je kiafya...
  8. lizzy3639

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. lizzy3639

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Sio waswahili. Ndio hali halisi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. lizzy3639

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Mungu akubariki mno. Nimekuwa nikijiuliza sana siku nyingi mama mmoja muombeaji huko kilombero huombea chumvi unaipikia na kuchanganya na maji ya kunywa nilikuwa sielewi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. lizzy3639

    Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Sijui itakuwaje tuombe mungu Mh. Rais aupate ujumbe huu. Na atusaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  12. lizzy3639

    Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Imefikia mwisho na ndio maana hatujui kama tutalipwa. Wengi wameshakata tamaa wengine tunaendelea kuomba msaada. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. lizzy3639

    Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ndugu Rais, Sisi tuliokuwa wafanyakazi wa Caegostars Ltd ambayo mkurugenzi wake ni Ndg. DIONIZ S.E. MALINZI tunaomba msaada wako utusaidie kupata haki zetu. Ambazo ni kama zifuatazo:- 1. SACCOS:- Tulianzisha Saccos yetu pale kazini lakini kutokana na matumizi yake mabaya ya fedha ofisi...
Back
Top Bottom