Search results

  1. Maisha pesa

    Ardhi eka 4.5 zinauzwa Bagamoyo

    Nauza ardhi eka 4.5 nina shida ya hela ya haraka nauza kwa bei ya hasara milioni 9. Eneo liko jirani na shule ya private, barabara zinapitika. Mwenye kuhitaji tuwasiliane inbox Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Maisha pesa

    Taifa linawahitaji viongozi wanaojitoa muhanga kama Hamis Kigwangallah

    Kila mtanzania pasina shaka anafahamu anachokifanya Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Hamis Kigwangallah kwa jinsi anavyoitafuna mifupa iliyowashinda mawaziri wengi waliopita kwenye wizara yake. Kwa mtazamo wa wengi huyu ndiye waziri anayewajibika na kuendana na kasi ya mh. rais pengine kuliko...
  3. Maisha pesa

    Nimemuacha kisa bikra

    Nilimtongoza dada mmoja akanikubalia kwa sharti la kwamba atanipa mchezo akinizoea lakini baadae akaanza kuniambia ana bikra, kusikia hivyo nikampiga chini fasta sipendagi ujinga mimi. Nimeshakutana na wanawake wengi wanaojifanya bikra unahangaika nae wewee unamuhudumia kwa kuamini mwishoni...
  4. Maisha pesa

    Mchepuko king'ang'anizi

    Wakuu sijaoa lakini nina mchumba ambaye soon tutaoana. Sasa kuna binti mwaka jana alikuwa anasoma chuo nilimpenda kwa dhati kwa nia ya kumuoa lakini akazingua ni mzuri sana na ilibidi nimtongoze kama miezi 2 hivi siyo kawaida yangu nilipoona mambo bado magumu nikamtema na nikapata mwingine...
  5. Maisha pesa

    Nimewakomesha madenti wa chuo

    Kuna denti wa chuo fulani jijini Dar (jina kapuni) tulikutana wakati anaenda chuo na mimi naenda kazini nikampa lift hadi chuoni kwao nikachukua namba ya simu tukawa tunawasiliana. Siku ya nane nane nikaona nimtafute tukapanga tukutane maeneo fulani Sinza. Sasa bana akaja na kijiji yuko na...
  6. Maisha pesa

    Eneo la ekari 10 linauzwa Bagamoyo

    Eneo lipo Kaole Bagamoyo Ukubwa ekari 10 kiasi 70million. kwa maelezo zaidi njoo Pm au uliza hapa hapa. Kwa wanaoyajua hayo maeneo kwa bei hiyo ni sawa na kuokota dodo kwani kabla hali haijawa ngumu yalikuwa yanauzwa 20m-30m kwa eka make ni ukanda wa bandari mpya.
  7. Maisha pesa

    Natafuta gari Allex/RunX

    Wakuu natafuta moja wapo ya gari hizo hapo juu. Iwe imesajiliwa karibuni namba D, ikiwa na 4WD itakuwa poa zaidi. Kama ina tatizo lolote la kurekebisha ni vema unitaarifu kabla sijaja kuikagua. Offer yangu 8m
  8. Maisha pesa

    Ushauri: RunX na Allex

    Wakuu nimetokea kuzipenda sana hizi gari kutokana na muonekano wake ni gari za kisasa zaidi, engine size below 1500, zipo zenye 4wd pia, ziko spacious lakini pia nimeambiwa ni comfortable sana. Ningependa ninunue moja wapo kati ya hizo lakini kuna watu wamenishauri kuwa system yake ya umeme...
  9. Maisha pesa

    Majiji ya Tanzania bado yana safari ndefu kuifikia Dar

    Kuna ubishi ambao umekuwa ukiendelea kuhusu jiji lipi linaongoza kwa ukubwa na wingi wa watu baada ya jiji la Dar. Wengi wamekuwa wanapambanisha Mwanza na Arusha wengine wameenda mbali zaidi wakisema Mwanza inaikaribia Dar kwa wingi wa watu. Kwanza niwape ukweli jiji la Mwanza lina watu wengi...
  10. Maisha pesa

    Kulikoni ndoa za siku hizi?

    Vijana wengi wanatamani kuoa na wasichana wengi wanatamani kuolewa. Mimi ni miongoni mwa vijana wanaojiandaa kuoa na hivyo niko katika kipindi cha kuyatafakari maisha ya ndoa. Jambo moja ambalo limenishangaza ni wimbi la kuachana wanandoa. Asilimia kubwa ya marafiki na jamaa zangu...
  11. Maisha pesa

    Nyie wanawake nani kawaroga?

    Nyie wanawake nani kawaroga? Siku ya mechi ya nusu fainali Euro France vs Germany nilikuwa nimekaa baa moja maridadi pembeni ya jiji nikibarizi na glasi yangu ya wine huku macho yangu yakiwa makini kwenye tv kubwa ya inch kama 70 hivi. Wakati mechi ikielekea ukingoni huku France wakiwa mbele...
  12. Maisha pesa

    Vijana wanatapeliwa sana mitandaoni

    Wakuu kuna hii tabia nadhani wengi tunakutana nayo mitandaoni. Unamuona mdada jf aidha fb, insta au hata badoo. Unatokea kumpenda unaanzisha conversation baada ya aidha ku like au ku comment post au picha yake. Kabla hujaanza mtongozano rasmi tayari unapigwa mzinga kwa kujipendekeza inbox...
  13. Maisha pesa

    Team single tunateseka

    Jamani hii hali ya hewa mvua na kibaridi team single tunateseka sana. Wale wenye wake zao ndo wakati wa kututambia huu utasikia kwanini hauoi? Akyanani baridi linalonipiga nimeamua kutafuta mke.
  14. Maisha pesa

    Kanikimbia baada ya kumtaka tukapime H.I.V

    Habari wanaJF, Hivi karibuni nimempata mtoto mkali kutoka Ilala kwakweli yule dada ni mzuri wa haja, baada ya kuwa pamoja kwa siku kazaa tulipanga Jumapili ya Tar.7/2/2016 tukalambe asali kwa mara ya kwanza. Siku moja kabla ya tukio hilo yaani Jumamosi usiku wa kuamkia Jumapili tulichat...
  15. Maisha pesa

    Osaka Raha, Bukoba to Dar siyo gari la kupanda

    Wasalaam wanaJF kama ilivyo kawaida huwa tunapeana taarifa na habari mbalimbali zenye lengo la kujenga. Jana nilisafiri kutoka Bukoba kuja Dar na nikapanda gari la Osaka Raha niliyoyashuhudia ndiyo yamenisukuma kuleta uzi hapa. Kiukweli ni gari mpya wala haina tatizo lolote la kiufundi au kwa...
Back
Top Bottom