Search results

  1. Maisha pesa

    Ardhi eka 4.5 zinauzwa Bagamoyo

    teh! teh! teh! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Maisha pesa

    Ardhi eka 4.5 zinauzwa Bagamoyo

    Nauza ardhi eka 4.5 nina shida ya hela ya haraka nauza kwa bei ya hasara milioni 9. Eneo liko jirani na shule ya private, barabara zinapitika. Mwenye kuhitaji tuwasiliane inbox Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Maisha pesa

    Diamond Jubilee ya leo imetusaidia kujua kwamba 90% ya Watumishi wa Serikalini goigoi

    Hili ni kweli hata mimi limenikuta unakuwa na boss elimu hana, hawezi kusoma document ya kimombo na kuelewa, hawezi kujenga hoja, hawezi kuandika taarifa nzuri, hawezi kutumia computer kila kitu unafanya wewe lakini anakuminya ili usionekane abaki yeye tu ndo staa. Akiona bado unavuma anaanza...
  4. Maisha pesa

    Diamond Jubilee ya leo imetusaidia kujua kwamba 90% ya Watumishi wa Serikalini goigoi

    Utakuta kuna vijana wazuri chini yao wanaachwa na nafasi wanapewa hao ma mburura.
  5. Maisha pesa

    Video: Azimia jukwaani baada ya kutumbuliwa na Makonda

    Nao wamezidi sana migogoro mingi wanaitengeneza wao na wakipelekewa wanashindwa kutatua
  6. Maisha pesa

    Taifa linawahitaji viongozi wanaojitoa muhanga kama Hamis Kigwangallah

    Kufanikisha kuwakamata inaweza kuwa nje ya uwezo wake make nafikiri unakumbuka walichomjibu polisi alipowaambia wawakamate watu wanne waliomuua mwanaharakati Wayne Lotter
  7. Maisha pesa

    Taifa linawahitaji viongozi wanaojitoa muhanga kama Hamis Kigwangallah

    Hahaha simfahamu HK zaidi ya kumuona kwenye tv. Haya ni mawazo yangu huru. Ondoa shaka leta hoja tu hapo
  8. Maisha pesa

    Taifa linawahitaji viongozi wanaojitoa muhanga kama Hamis Kigwangallah

    Kila mtanzania pasina shaka anafahamu anachokifanya Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Hamis Kigwangallah kwa jinsi anavyoitafuna mifupa iliyowashinda mawaziri wengi waliopita kwenye wizara yake. Kwa mtazamo wa wengi huyu ndiye waziri anayewajibika na kuendana na kasi ya mh. rais pengine kuliko...
  9. Maisha pesa

    Nimemuacha kisa bikra

    Aitoe wapi?
  10. Maisha pesa

    Nimemuacha kisa bikra

    Acha hizo dogo tena utakuta wewe kavulana ka mwaka 90 unajidai kakubwa.
  11. Maisha pesa

    Nimemuacha kisa bikra

    Alimaanisha ya k
  12. Maisha pesa

    Nimemuacha kisa bikra

    Hahaha wengi wahuni
  13. Maisha pesa

    Nimemuacha kisa bikra

    Nilimtongoza dada mmoja akanikubalia kwa sharti la kwamba atanipa mchezo akinizoea lakini baadae akaanza kuniambia ana bikra, kusikia hivyo nikampiga chini fasta sipendagi ujinga mimi. Nimeshakutana na wanawake wengi wanaojifanya bikra unahangaika nae wewee unamuhudumia kwa kuamini mwishoni...
  14. Maisha pesa

    IGP Sirro, nakutaarifu Dar na Arusha si salama kwa safari za usiku

    Hii inatisha sana hasa nikifikiria jana tu nimesafiri usiku Dar to Dodoma kuanzia saa 12jioni nimefika saa 7usiku. Nimeogopa sasa nitasafiri mchana tu
  15. Maisha pesa

    Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

    Leo umepata comments nyingi ulichokitaka umekipata
  16. Maisha pesa

    Mchepuko king'ang'anizi

    Ndo kama huyo na wapo wengi tu nchi hii Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom