Search results

  1. Jaluo_Nyeupe

    Ni kitu gani ambacho hauna na wala hakikusumbui kichwa?

    Itakuwa sio Muha wewe! [emoji23]
  2. Jaluo_Nyeupe

    Kijana wa miaka 12 agonga bodaboda

    Ule utafiti kuhusu Watz wangapi kati ya wangapi wanaugua magonjwa ya akili inabidi waurudie upya. Yawezekana takwimu ni 9 wagonjwa kwa 1 mzima.
  3. Jaluo_Nyeupe

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Utasikia beki za Azam zinakabia macho.
  4. Jaluo_Nyeupe

    Kanikubalia lakini yuko busy sana

    Yaani unatega alarm kabisa unaweka na reminder!? [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Jaluo_Nyeupe

    Mke wangu kawa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa ya jirani yangu

    Ukioa single mother unapata thawabu.
  6. Jaluo_Nyeupe

    Mlio oa au kudate na wanawake wa kimachame njoeni hapa tufarijiane ndugu zangu

    Kabila lina mchango sana kwa tabia ya mtu, hasa kama amekulia kijijini kwenye chimbuko la kabila lile. Tabia zinaathirika sana na makuzi, mila pamoja na mazingira uliyokulia.
  7. Jaluo_Nyeupe

    Status za WhatsApp zinatuonesha jinsi tulivyo na tunajichora tu kwa wengine

    Binafsi sipendi kuweka status. Ikitokea nimeweka mara chache hasa mambo ya mpira au vichekesho au msemo fulani ulionivutia. Hata hivyo sidharau anaweka status kwa namna anavyoona yeye inafaa kwa kuwa mimi siweki standard za dunia za namna ya watu kuishi.
  8. Jaluo_Nyeupe

    Kumekucha sakata la Prince Dube na Azam

    Ipo siku wachezaji first 11 watataka kuvunja mikataba yao kwa kuwa release clause inaruhusu huku timu ikizuiwa kusajili wachezaji wapya hadi dirisha dogo au msimu ukiisha.
  9. Jaluo_Nyeupe

    Ni maadili gani aliyobomoa Zuchu katika shoo yake mpaka wamfungie kufanya mziki Zanzibar pamoja na kulipa faini?

    Kasema hata mumpe mku... huku akipiga piga vindimu vyake. Unategemea alimaanisha nini?
  10. Jaluo_Nyeupe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hivi inabidi ufanye nini baada ya kujaza fomu ili uweze kufungiwa fiber ya TTCL?
  11. Jaluo_Nyeupe

    Faida na hasara za kusafiri mikoani na mabasi ya usiku

    Ukitaka ufurahie safari za usiku, panda basi luxury na sio semi luxury. Kata siti za katikati zisiwe mbele sana au mwisho sana. Unalaza kiti chako mpaka mwisho unauchapa usingizi mororo. Unashtukia kumekucha.
  12. Jaluo_Nyeupe

    Yanga ipewe pongezi kwa ubunifu wao katika soka duniani

    We kolo. Hilo jina linatamkwa Babra ila linaandikwa Barbara.
  13. Jaluo_Nyeupe

    Ali Kamwe azimia baada ya mechi, akimbizwa hospitalini

    Wewe uko na akili kubwa sana.
  14. Jaluo_Nyeupe

    Ali Kamwe azimia baada ya mechi, akimbizwa hospitalini

    Natamani nikwambie kwamba mahali alipopelekwa Kamwe wana mkataba na Yanga. Kama una elimu kidogo ya mambo ya masoko utakuwa umeshanielewa.
  15. Jaluo_Nyeupe

    FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

    Mechi nzuri ya kushinda ilikuwa ni leo. Kwa kuwa mpinzani alikuwa hana cha kupoteza.
  16. Jaluo_Nyeupe

    FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

    Ikishindikana ushindi, Draw kwa Simba si nzuri?
  17. Jaluo_Nyeupe

    Penzi la Mzee Ngowi na mkewe ni funzo kubwa kwetu

    Thread zingine zipo kwa ajili ya kuburudisha. Sasa ukisoma kama mpelelezi mbobevu huwezi kupata burudani iliyokusudiwa.
  18. Jaluo_Nyeupe

    Penzi la Mzee Ngowi na mkewe ni funzo kubwa kwetu

    Hilo geti na mlango vipo kwanza?
Back
Top Bottom