Search results

  1. leonard mwenda

    MBAO za 2 by 2 na 2 by 4 zinauzwa kwa bei poa

    OK..kesho asubuhi tuwasiliane uje uzifuate.
  2. leonard mwenda

    MBAO za 2 by 2 na 2 by 4 zinauzwa kwa bei poa

    Mazungumzo yupo, usijali!
  3. leonard mwenda

    MBAO za 2 by 2 na 2 by 4 zinauzwa kwa bei poa

    Habari za majukumu ndugu, Nimepata changamoto kidogo, nauza mbao zangu zilizokua site kwaajili ya Ujenzi. Nimeamua kuuza ili kutatua changamoto binafsi nilizo nazo za kifamilia. IDADI YA MBAO 2*2 (two by two) zipo jumla 120 2*4 (two by four) zipo jumla 90 Mboa ziko treated tayari hivyo ni...
  4. leonard mwenda

    Nyumba inauzwa (reasonable price)

    For sale Modern/New house, (gypsum, tiles, & fence) Plot size; 1600 Location: pugu (kinyamwezi) Price: 80m (negotiable)
  5. leonard mwenda

    Nyumba inauzwa (reasonable price)

    Location: mbezi beach (rainbow) Three master bedrooms Plot size: Square meter 1200 Price; 250m
  6. leonard mwenda

    Nyumba inauzwa (reasonable price)

    Location: tegeta, nyaishozi Distance: 2.5 km from kibo complex Modern/standard house Price: 150m (fixed) All necessary document available
  7. leonard mwenda

    Kiwanja.

    Mkuu hiyo 1m unataka kilichopimwa tena maeneo ya mjini? Last week jamaa yangu alienda kununua Kiwanja mnadani mbele ya mzani (NALA) kwa 3m (30×24) Kwahiyo offer yako lazima wakutapeli.
  8. leonard mwenda

    Nauza Bajaji TVs Bei chee

    Full service inakua ni juu yako mfano kama unataka kufanya overall maintenance.. Ila kumwaga oil na kubadilisha vitu vidogo vidogo mfano plugs na kubadilisha side mirror, rubber etc ni juu yake. Mimi niliingia nae mkataba service inayozidi elfu 10, Ndio tunashare cost. All the best mkuu ukipata...
  9. leonard mwenda

    Nauza Bajaji TVs Bei chee

    Kawaida ni tsh 15,000/ per day Ila kama chombo ni kipya hesabu inakua ni tsh 18,000 mpaka 20,000/=
  10. leonard mwenda

    Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    Kiwanja kipo pugu kajiungeni. Square meter 440 (22*20) Kipo barabarani ambapo unaweza weka frame 6 kwenye eneo la mbele. Price:10m Also SALASALA majengo Square meter 775.
  11. leonard mwenda

    Nyumba inauzwa (reasonable price)

    Inauzwa mwenyewe ana shida sana! Location: pugu (majohe) Km 6 kutoka g/mboto Bei: 30m
  12. leonard mwenda

    Nyumba inauzwa (reasonable price)

    Square meter 484 ( 22*22)@4m Kitunda shule kwa mbele kidogo. Square meter 900 (30*30)@12m Kitunda, MWANAGATI. Na kipo cha jamaa CHANIKA buyuni Square meter 625 (25*25)@6m Plus others......
  13. leonard mwenda

    Nyumba inauzwa (reasonable price)

    Location: g/mboto Vyumba vitatu (kimoja ni Master) Dining, sitting room, kitchen & public toilet Square meter 625 (25*25) Aluminium window, tiles, gypsum board. Maji, umeme.
Back
Top Bottom