Search results

  1. K

    Anahitajika office administrator katika kiwanda kidogo cha nguo.

    OFFICE ADMINISTRATOR Anahitajika office administrator katika kiwanda kidogo cha nguo. SIFA 1. Awe na ujuzi katika kazi za kiofisi kwa muda wa miaka mitatu na Zaidi (Office experience of 3yrs and above) 2. Awe mwenyeji wa Dar es Salaam (Live in Dar es salaam) 3. Awe na uwezo wa...
  2. K

    Hyatt Regency Dar es Salaam, the Kilimanjaro wins an award for Environmental Excellence (2017)

    Dar es Salaam, January 2018: Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro has been named the winner of the 2017 national competition for health and environmental cleanliness which was held by the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children (MoHCDEC) (Tanzania). The...
  3. K

    JOB OPPORTUNITY: Home Assistant / Care Giver

    A client that resides in Mikocheni A, Dar es Salaam is looking to hire a Care giver. As a Caregiver, the potential employee is expected to provide a variety of non-medical services that will assist the client to have a stable quality of life on a daily basis. The Primary Duties include: ·...
  4. K

    Natafuta Dereva Dar es Salaam

    Gari ndogo za abiria..
  5. K

    Natafuta Dereva Dar es Salaam

    Tuwasiliane.. Njoo inbox
  6. K

    Dereva anahitajika Dar es Salaam

    Natafuta Dereva Awe anaishi Kawe, Mbezi au maeneo ya karibu na Mbezi Beach. Kazi ni ya udereva hapa ndani ya mkoa wa dar es salaam. Na ni wakumtoa bosi nyumbani na kumtembeza kwenye mishemishe zake za mjini na kumrudisha jioni. Kuna wakati itabidi umrudishe boss usiku kwahiyo ni muhumu uwe na...
  7. K

    Natafuta Dereva Dar es Salaam

    Natafuta Dereva, Dar es salaam. Awe anaishi Kawe, Mbezi au maeneo ya karibu na Mbezi Beach. Awe na leseni ambayo ipo hai na awe mzoefu wa kuendesha gari kwenye jiji la Makonda. Kazi ni ya udereva hapa ndani ya mkoa wa dar es salaam. Na ni wakumtoa bosi nyumbani na kumtembeza kwenye mishemishe...
  8. K

    Tuliwaambia kuhusu 'fake news'

    Nyani Ngabu Pia ilireportiwa kwamba Trump alikuwa anazitengeneza hizi habari na kuzisambaza yeye na anakaa hatoli ufafanuzi kwasababu zina-ibua hisia kwa wafuasi wake. Ndio tunapokuja kusema kwamba, wakati mwingine zinatengenezwa na wahusika ili zisaidie kutimiza lengo. Kwahiyo zinakuwa kama...
  9. K

    Wawekezaji Maswa wachangia 72m kujenga shule Meatu

    KAMPUNI kitalii zilizo chini ya Friedkin Conservation Fund (FCF) Tanzania iliyowekeza katika pori la Makao wilayani Meatu na Maswa Mkoani Simiyu imechangia mifuko 3000 ya saruji na mabati na 1000 kusaidia ujenzi wa shule za sekondari wilayani humo. Misaada hiyo yenye thamani ya zaidi ya sh...
  10. K

    Jukwaa linauwezo mkubwa wa kukupa mwanaume kuliko mwanamke

    Wakuu, Katika tafiti zangu za kuangalia jukwaa hili kila siku na thread zinazofunguliwa nimekuja kugundua kuna uwezekano mkubwa wa mwanamke kupata mwenza wake kuliko kwa mwanaume. Hii ni kwasababu asilimia kubwa ya watembeleaji wa jukwaa ni wanaume kuliko wanawake. Wanaume msikate tamaa...
  11. K

    Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

    Labda hii hasara inatokana na mikopo waliopewa wafanyakazi hewa 17,500 ambao wamegundulika na serikali ya Magufuli.
  12. K

    Nipo single natafuta single mwanamke tupige mastori nakutoana upweke

    Hakuna... Naona huku tumejaa mameni tuu
  13. K

    Rafiki (Mshkaji) wa kike

    Hehehehe mbona kama unatafuta mke sasa
  14. K

    Nipo single natafuta single mwanamke tupige mastori nakutoana upweke

    Hehee, Ila topics zipo nyingi banaa. hiyo inaweza kuwa moja wapo
  15. K

    Nipo single natafuta single mwanamke tupige mastori nakutoana upweke

    Na mimi natafuta mwanamke tupige mastori nakutoana upweke
  16. K

    Rafiki wa kike wa maendeleo

    Tatizo ni nini ?
  17. K

    Rafiki wa kike wa maendeleo

    Mimi ni Mkristo.
  18. K

    Are you a driver? we are hiring!

    Lugha muhimu.
  19. K

    Are you a driver? we are hiring!

    Magari ya kawaida, saloon cars
  20. K

    Rafiki wa kike wa maendeleo

    Natafuta rafiki wa kike, tuweze kuongea na kubadilishana naye mawazo wa maswala ya kila siku yanayotokea duniani. Awe kwanzia umri wa miaka 21 na kuendelea. Kikubwa ni mtu wa kuwa na maongezi naye ya kimaendeleo. Mimi ni kijana umri wa miaka 27. Ni mjasiriamali.
Back
Top Bottom