Search results

  1. bro_A

    Mliooa, hii hali mnaichukuliaje kwa Wanawake?

    Usimzuie, mpe nafasi, ongea nae tu hata mara 10 kwa siku, ni mkeo na we ndo faraja yake pia ni ishara ya kuwa anakupenda na muaminifu, ingekuwa kuna mwanaume mwingine anakuwa nae we ukiwa safari basi usingeona akikusumbua sana katika simu. Usiwape nafasi vidume wengine yaani usifanye atafute...
  2. bro_A

    Hivi nanyi mmebahatika anayeyajua mapenzi kama huyu wangu?

    Vizuri, basi umuoe kama bado hujamuoa
  3. bro_A

    Ni mimi peke yangu ndio nimeoa mke mwenye uwezo mdogo wa akili?

    Kama ana akili ya kuzungumzia mambo ya watoto, mapenzi na sex then wataka nini zaidi kwa mwanamke? Mbona kama unazingua babu
  4. bro_A

    Mchumba wangu ananishirikisha katika kila kitu cha maendeleo anachofanya

    Mh, hivi nyinyi mnataka tuishi nanyi kwa namna gani? Mbona hatuwaelewi mtakacho
  5. bro_A

    Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

    Kwahiyo humu ndo kanisani kwako
  6. bro_A

    Mshauri wa ndoa nataka kufanywa mchepuko

    Kiingereza kiingiiii, wabongo bhana
  7. bro_A

    Nimekereka Sana Leo

    Akili yako ina akili kweli !?
  8. bro_A

    Mume wangu hapendi ndugu zangu

    Nikushauri dada, kwa mazingira hayo mpeleke mdogo wako kwa ndugu wengine, maana hapo ni shida mumeo hampendi
  9. bro_A

    Miti inakua kutoka wapi? Mbona hatuoni shimo pale ulipotoka?

    Hueleweki na swali lako, kwani hujui kuwa mizizi iko chini ardhini au wajitoa ufaham
  10. bro_A

    X wangu anataka lazima ajibiwe ujumbe

    Kwa kauli yako unathibitisha ule msemo wetu wa wanaume kuwa "tusioe mwanamke mwenye mtoto" dada kwa hakika mahusiano ya sasa/ndoa yako kama ushafunga haiko salama. Unaruhusu vipi mazoea ya kijinga hayo, inaonyesha nawe pia unapenda akuzoee hivyo, ila tambua kuwa unajishusha utu wako na ex wako...
  11. bro_A

    Mfalme Zumaridi kama umeshindwa kuongoza kanisa, pisha mchungaji mwingine

    Tatizo sio yeye ila ni wewe kutojitambua.
  12. bro_A

    Ushauri aliyotoa mke wangu kwa shoga yake umeniweka njia panda

    Duh, ktk hao huenda wako ni wawili tu
  13. bro_A

    Nikimla msichana mara mbili namchoka na simtamani tena!

    Mkuu hapo ni kuwa bado hujampata wa kumpenda kwa shida na raha, hao wote uliokutana nao unawatamani tu, ipo siku utampata umpendae kwa dhati. Lakini pia acha hiyo tabia kwani magonjwa ni mengi na kumtumia mdada na kumuacha jua unamuachia majeraha ktk moyo wake
  14. bro_A

    Wanajeshi na Askari mnatumia nini kuzuia ndevu na vipele?

    Usinyolee mashine, tumia mkasi mdogo japo huchukua muda lakini hiyo ni njia salama kabisa, hutopata vipele kamwe
  15. bro_A

    Dewji: Ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi MeTL

    Mimi ndoto ni kufanya kazi serikalini na sio kwake
  16. bro_A

    Imebidi nitumie njia ya kisayansi kuupiga chini mchepuko unaonifilisi

    Hahahahahhahahha mkuu wataka kuona formula Uu
Back
Top Bottom