Search results

  1. kitabakilo

    Hii ndiyo gari ya kiume Toyota hapa walifanikiwa sana 2007 hadi 2010

    kuna demu namjua anaendesha FUSO TANDAM banaban nilipewa LIFT na hiyo gari tok IFAKARA kuja mimi nikashuka tu MIKUMI nikasema nimeairisha safari nikmuacha akafe peke yake kuna mademu wamepinda mkuu nilikuwa nsiki tu sifa zake akija na fuso lake mtaani enzi hizo DAR
  2. kitabakilo

    Basi/Taxi za Kimara Bonyokwa hazina bima wala madereva hawana leseni na Polisi wanajua. Mamlaka husika angalieni hili

    Yaan ungejua hizi gari zinavosaidia na siku ambayo wakiamua wasiingize mtaani wakifanya msako kutokana na wambea km nyinyi jinsi tunavyopata tabu ya USAFIRI ungeiiambie kwanza SERIKALI yako SIKIVU itengeneze hizo barabara kwa kiwango cha lami kwanza halafu uone km kutakuwa na gari chakavu...
  3. kitabakilo

    Ni muda gani Mama anatakiwa amuachishe mtoto kunyonya?

    KIDINI ni miaka 2 na kisayansi ni miaka 2 na hata tamaduni za makabira mengi ni miaka 2
  4. kitabakilo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    mimi nilikuwa ile ya kina kawale FARIDA chozi nk kwa ticha MAIKO pale CCM UJIJI tulikuwa na kina ROGERS wa shule ya kisiwani na wenzake ila kuna nyingne ya mr. k alikuwa anakaa kwa MZEE DIZAMIRE pale msikiti wa malamala karibu na luku ila yeye alikuwa anajua sana MATH
  5. kitabakilo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    niambrieeee hiyo sio ya watoto wa vingunguti hao timbereeeeend kwa kina makala hiyo mdogo wake mamaasakina na mshikaji fulani hivi mdau sana wa twanga kiyaiyai yeye swaga yake ndo hiyo sekunde kumi tu kashataja watu 10 kwa uwiano wa sekunde 1 jamaa noma sana
  6. kitabakilo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    yah pamoja na kina BOKE Spia mbwembwe ndo alikuwa anakuja kuidakia kipindi hicho yupo simba
  7. kitabakilo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    nakumbuka MZEE KINESI alikuwa analoga sana kipindi cha pili mpira uvunjike mechi irudiwe aingize ela nakumbuka Mechi flani ABAJARO na KAGERA kma sikosei mpira suluhu kupiga penart hataki anadai eti muda umeisha giza kumbe ana lolote anataka mechi irudiwe apate ela ABAJARO watoto wa sinza...
  8. kitabakilo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    mmh noma aisee code nishaifungua nitakucheck Pm
  9. kitabakilo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    ha ha ha KIZIBO namkumbuka ila alitupita darasa moja wao walianza kumaliza mwaka mmoja mbele class yetu sisi ilikuwa na kina jafar santo fatum kawale ally loko na kina abd ljoh
  10. kitabakilo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    7A tulikuwa class moja mkuu yaan wewe na SHUNIE tunafahamiana vizuri tu coz shunie na AMINA RAMDHANI (R.I.P) na H KISTU Walikuwa wanasoma darasa moja na DADAANGU ila hizi ID tu jamani tunatukanana kumbe ni wamoja ticha mbogolo maarifa jamii alikuwa haandiki ubaoni anatusomea tu yaan MSIMBE...
  11. kitabakilo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    FARU ya manzeseBEACH BOY ya ferry NATIONAL ya tandale hizo timu zikija kucheza na SWAZI lazima watu kbla mpira hujaisha tutokee kwenye mabati
  12. kitabakilo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    hazikuepo bajaji zimeanza 2009 mwananyamala
  13. kitabakilo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    mwembechai timu yako ilikuwa ipi KAGERA RANGERA au MESSINA ya mtaa kondoa kombe la kinesi hiyo fainali kagera na messina penart ya mwisho tunaangalia nje ya uzio wa mabati maana lazima ngumi zilike MAMAANGU mdogo alikuwa anakaa NYUMA ya gholofa kongwe so nilikuwa nakuja sana magomeni weekend...
  14. kitabakilo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    we wakishua tangu primary pigo zako nilikuwa naziona tu mara ya mwisho kukuona ilikuwa kwenu nje pale wanapopaji bajaji hosptari
  15. kitabakilo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    halafu we muhenga mwenzangu km unamjua CSTO tulikuwa wote enzi za nzile tuiton ya AL CAEDA mtihani wa la saba tunafanya chini ya ulinzi wa polisi na mtutu we utakuwa ni wa enzi ya Class ya kina A lijoh F kawle. H sadallah. J sembja(bonge) J sato kina chozi M kabali dadamkuu ZENA E PANTALEO...
  16. kitabakilo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    wale washkjai ilikuwa noma ikitokea Mtemi mwingne wanataka wapigane nae saa ya kutoka mnazunguka nyuma kule uwanjani shule nzima tunaamia uwanjani kuangalia NGUMI kipindi hicho geti lilikuwa linatumika la mbele pekee lile linaloangalia njia ya kwenda ujiji ticha mpogolo dah huyu ticha anaeuza...
  17. kitabakilo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    sio dhani ila MAMA MKAMBA wa royal alikuwa TV anayo tayari hata marehemu MZEE mtambo wa wa kwa mama zakalia TV alikuwa nayo pia
  18. kitabakilo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    mshana juzi tulivyokuwa kibaha tulimuongelea huyu hatukujua km kashavuta kumbe gari yake anaipiga service mwenyewe kaipaki kibaraxani kwake anaipiga jeki na ovaroli anazamchini ana mikogo balaa shunie kumbe mtoto wa mwananyama enzi ya NDEKA nakupa list lazima hawa maticha lazima...
  19. kitabakilo

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    umeona eeh ukiunganisha na alivyosema Bila bila nadhani kuna kitu umegundua sasa kazi ni kwako
  20. kitabakilo

    CHADEMA wachukua Fomu za Kugombea Ubunge Majimbo Mawili. Salum Mwalim Juma (Kinondoni) na Elvis Christopher (Siha)

    we mjingawao hii ni KINONDONI na ina wenyewe na wenyewe ndo sisi tumezaliwa MWANANYAMALA HOSPTARI na sisi hatuna mpango na CCM na kamwe hatuchaigaua na ni kawaida yetu tunalinda kura hata ije mvua ya Radiation ya nyukilia Lione jingalao
Back
Top Bottom