Search results

  1. Hulda-Tamarri

    The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana watu hughairi kwenda mweeeeh!
  2. Hulda-Tamarri

    Kuna update yoyote ya HESLB kuhusu postgraduate students waliiomba mkopo?

    Hadi law school kumbe wanapewa mkopo? Mweeh sikuwahi kujua!
  3. Hulda-Tamarri

    Wanawake....let's be kind to men!!

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. Hulda-Tamarri

    Fatma Karume atoa ya moyoni kuhusu aliekuwa Mume wake

    Fresh tu! Mtu using'ang'anie mahali pasipkupa amani.
  5. Hulda-Tamarri

    Tetesi: Wema kuzindua ghorofa lake Valentine's Day

    Uongoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  6. Hulda-Tamarri

    Wazo la leo: Tumia JF kumjua mwanamke mwenye akili (mke bora)

    Kwa hiyo kataa ndoa mnaanza kupungua sio?!
  7. Hulda-Tamarri

    After sex, what's next? May be it can help to someone out there

    Ulichokiandika ni kweli kabisa. There is life after sex...
  8. Hulda-Tamarri

    After sex, what's next? May be it can help to someone out there

    Brooo... I think you missed my point [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. Hulda-Tamarri

    After sex, what's next? May be it can help to someone out there

    Come see the people in my community [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. Hulda-Tamarri

    Chakula kwa siku Tsh 30,000

    Kula ugali tembele!
  11. Hulda-Tamarri

    Chakula kwa siku Tsh 30,000

    Kama vitu vya muhimu like mkaa, unga, mchele, mafuta, sukari....vipo ndani, si unainjika maharage tu mnayala mchana kwa ugali na usiku kwa wali na tikiti maji la jero! Ama ugali dagaa mchana, usiku unaongezea tembele au mchicha wa 500 mnakula tena ugali na vidagaa vilivyobaki mchana. Life...
  12. Hulda-Tamarri

    Swali kwa wadada, hivi mnaweza kuwa na mahusiano au ndoa na mwanaume ambaye hana hela?

    Ni vizuri na hakuna ubaya wowote ila ndo unatafuta kweli sio kukaa tu ndani unalalamika ramani hazisomi.
  13. Hulda-Tamarri

    Swali kwa wadada, hivi mnaweza kuwa na mahusiano au ndoa na mwanaume ambaye hana hela?

    Wanawadharau kwa sababu hata nyie mkizipata huwa mnaenda kutumbua na wanawake wengine.
  14. Hulda-Tamarri

    Swali kwa wadada, hivi mnaweza kuwa na mahusiano au ndoa na mwanaume ambaye hana hela?

    Angalau za kupandia bodaboda ziwepo sio lazima za uber. Mwanaume akiwa hana hela kudeal nae ni ngumu sana. Unaweza ukawa unacheka na comments za jf akakwambia unamcheka yeye! Au ukachelewa kujibu sms/call ukaambiwa..."naona siku hizi unanidharau kwa kuwa sina hela..." Hizi attitudes wengi ndo...
Back
Top Bottom