Search results

  1. S

    Babu Seya atua Mahakama ya Afrika, Awasilisha hoja tatu

    Imefika kwa watalaamu namba 1,hayupo
  2. S

    CCM wameanza kuisoma namba kabla ya UKAWA

    Anatekeleza Sera za ukawa CCM haina Sera ya kufuta safari za nje Na mabalozi kuwajibika
  3. S

    Hakuna Mtanzania Binafsi yeyote mwenye mamlaka ya kumuhoji Rais wa JMT

    CCM Hamna ujanja Sera mtakazozitekeleza no za ukawa tayari mmeanza
  4. S

    Mawaziri Sita wameachia nyadhifa Zanzibar

    Kwani kuachia Leo kuna tatizo gani
  5. S

    HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    Wanaumia nini kwani usingeiba kura zao wao wasingetoa mikopo ila ungesoma bure we we mpumbavu unafurahia mkopo?
  6. S

    Nembo ya klabu ya Simba haina jina la nchi

    Manchester IPO uingereza tu je simba IPO Uganda IPO Tanzania utajuaje? Acha kupinga tu Fanya utafiti
  7. S

    Baraza kuu la CUF lakataa kurudia uchaguzi Zanzibar!

    Wabara wanafiki sana wataendelea kula matapishi yao milele Na milele
  8. S

    Kama sio Lowassa, Magufuli asingetumia kauli ya "Mabadiliko ya kweli"

    Heko Mh.magufuli uliiga m4c uliiga mabadiliko hatimae umeanza kutekeleza Sera za Ukawa umefuta ziara za nje, misamaha ya Kodi endelea kuzitekeleza
  9. S

    Nembo ya klabu ya Simba haina jina la nchi

    Ninashindwa kuelewa kwanini viongozi na wanachama wa Klabu ya Simba hawajaiona dosari ya Nembo ya klabu ya Simba kutokuwa Na Jina la nchi ya Tanzania.Nembo ni alama ya klabu na inatakiwa kuwe na vielelezo vitakavyokuwa vinaitambulisha klabu hiyo.Klabu ya Simba imekuwa inashiriki mashindano...
  10. S

    CHADEMA wateua wakala wa CCM kuwa mbunge

    Chadema mbona mnataka wanachama tukihame chama? Walipeni mawakala Na teueni wanachadema
  11. S

    TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    Kama in mgeni Wa Edo mbona magufuli Na mkewe walienda kumpokea ina maana nani aliwatuma?
  12. S

    Freeman Mbowe, kwanini una mlaghai Lowassa?

    Msemaji ukweli mbona mkuu unatafuta sifa? Hayo maneno unaweza kuyathibitisha mahakamani? Kumbuka makosa ya mtandao Sheria imepamba moto mkuu
  13. S

    SMZ: Suala la kurudiwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar halina mjadala!

    Jamani hesabuni kura vinginevyo kura za raisi Wa jamhuri Nazi no batili
  14. S

    T.B Joshua na Askofu Gwajima!

    Wizi Wa kura ulikuwa no ushindi Wa kishindo
  15. S

    SMZ: Suala la kurudiwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar halina mjadala!

    Magufuli amepata uraisi Wa muungano kwa kura za Zanzibar iweje kumpata rais ea Zanzibar kura zina dosari?
  16. S

    Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

    Pohamba inajua Sheria ya mitandaoni imeanza Kazi? Una ushahidi Wa hiyo taarifa yako? Ngoja mama apone aifanyie Kazi watu wengine mnapenda kuzusha sana
  17. S

    Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

    Njowepo acha ujinga kama hutaki kumpa pole siunyamaze?
  18. S

    Rais Magufuli na manispaa Kinondoni vinara safari za nje ya nchi

    Mh.Rais Magufuli sisi Watanzania Tunakupongeza kwa kukomesha safari za Nje ya Nchi kwa Watendaji Wa Serikali ya watu masikini.Manispaa ya Kinondoni ni Halmashauri ambayo inaongoza kwa Madiwani Na Watendaji wake Kwenda nje ya nchi huku fedha za miradi ya maendeleo zinatumika kwa posho Na safari...
Back
Top Bottom