Search results

  1. Dream Queen

    Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

    Sasa si bora Tandu, kuna huyu mdudu anaitwa Washa Washa naweza kukuamkia hata mara 100 ili mradi tu umtoe kwenye macho yangu, Tandu ananitisha kwanza miguu yake ilivyo mingi, uwezo wake wa kung'ata mbele na nyuma, hujakutana na litandu likubwa limekomaa hadi likitembea lina kishindo (nimetia...
  2. Dream Queen

    Bahati haijirudii mara mbili TID huu ndo mda wako

    Mtu akiwa kwenye 40s ana uzee gani? Hii Dunia ukiwa serious sana kuna mambo mazuri yatakupita pia usisahau the World is full of extroverted people
  3. Dream Queen

    Must see Movies

    I watch any movie ambayo yupo Mark Wahlberg, the guy never disappoint me hasa ile serious comedy yake.
  4. Dream Queen

    Series (Special thread)

    Najuuuta kuiangalia hii series wamenipa arosto halafu wanakuja kusema hawaendelezi tena [emoji24][emoji24][emoji24]
  5. Dream Queen

    Kauli ya 'Kata simu kwanza kuna mtu ananipigia' huwa unaichukuliaje?

    Upo sahihi kabisa, huyu ni mimi na shost zangu tukishamaliza ya maana tunaingia kwenye umbea simu ya kazi au familia inaingia lazima nimwambie kata/subiri kwanza nimpokelee fulani, kisha tunaendeleza umbea wetu.
  6. Dream Queen

    Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

    Usinikumbushe siku tumemuona Tandu mie nshapanda dirishani napiga makelele kaja kamtoa na fagio sasa nitoke nimuone alivyombaruza ati nimemuacha aende huwezi jua pengine ana familia, nilichoooooka, Si unaona hata hawa Rastafarians wana roho ya upendo uliopitiliza, nadhani sababu ya uVegan...
  7. Dream Queen

    Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

    Ana kochi lake tumeweka kitambaa kwa ajili ya manyoya na yeye kupata joto, mtu akikaa kwenye kochi lake atamsukuma na kulia kama ni mtoto na hakuna wakubwa around atamkwarua, yeye anaweza kuja kukaa sehemu zenu ila sio nyie mkakae kwake ni ugomvi [emoji23][emoji119] Ukija kwangu kweli...
  8. Dream Queen

    Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

    Alikua mzuri maa shaa Allah [emoji24][emoji24][emoji24]
  9. Dream Queen

    Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

    Daah! Pole sana hawajawekewa sumu kweli au kula chemical yoyote? au ni Virus iliwavaa!?maana kama ni ugonjwa wa kawaida haiwezekani wafe kwa mkupuo hivyo Siwezi kuyabeba maumivu yako Angel pole sana tena sana
  10. Dream Queen

    Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

    Mbavu zangu, wallah umejua kunichekesha leo una sound kama ndugu yangu flani hivi yeye na Wanyama mbali mbali hasa Paka
  11. Dream Queen

    Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

    Naweza kuacha nyama ya Ng'ombe au Mbuzi ila sio Kuku na Samaki jamani hapo wataniswamehe, Yeye ameanza uVegan ana miaka mi5 sasa anapenda pia Wanyama ana huruma sana imagine aweza kumuacha Mbu amng'ate hadi atosheke aondoke hataki kumfukuza ati anajitafutia chakula [emoji119] hapo ndio...
  12. Dream Queen

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Muite Afrika au Africa....
  13. Dream Queen

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Obviously ni Ultra Sound (sorry nimemjibia)
  14. Dream Queen

    Mtu mwenye Ualbino ni mlemavu au sio mlemavu?

    Kulikua na ulazima wa kutoa mfano wa mtoto? Ungesema hata mpira tu ingetosha, halafu unahamasisha watu wakajaribu unataka mtoto aliyebebwa na Albino afe au apate madhara?
  15. Dream Queen

    Bahati haijirudii mara mbili TID huu ndo mda wako

    Thank you, bora nimeiona hii comment maana nilikua nasoma uzi namshangaa mtoa mada, maelezo mareeeeefu kumbe hamjui TID Mnyama na misemo yake Ndo shida ya kumiliki smartphone uzeeni
  16. Dream Queen

    Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

    Hapana bwana unatakiwa umfundishe angali mdogo, kwenye kujisaidia muwekee chombo kikubwa jaza mchanga muoneshe hapo ndio sehemu yake ya kujisaidia, kwenye chakula hakikisha humpi nyama au samaki wabichi, pika au kaanga ndio umpe ukimzoesha vitu vibichi ndio anakua mwizi, pia hakikisha vyombo...
  17. Dream Queen

    Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

    Aah mie mtu akitaka kuona hasira zangu mpige au kumfokea Paka
  18. Dream Queen

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    https://www.jamiiforums.com/threads/msaada-nahitaji-majina-ya-watoto-wa-kike-na-kiume-ya-kiafrika-yasiwe-ya-kizungu-kiarabu-wala-kiswahili.2154826/ Msaada: Nahitaji majina ya watoto wa Kike na Kiume ya Kiafrika, yasiwe ya Kizungu, Kiarabu wala Kiswahili
  19. Dream Queen

    Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

    Jamaniiii n'shapewa jina la minyau tena [emoji23], binaadam!
  20. Dream Queen

    Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

    Unampiga Paka!!? Unampigaje? kwa fimbo, mikono au mateke? hadi nimetetemeka jamani
Back
Top Bottom