Search results

  1. H

    Biashara ya lodge na pub

    Mambo vipi ndugu zangu, Nimepewa jukumu la kusimamia lodge yenye PUB pembeni, hii biashara bado mpya ndio kwanza inafunguliwa mwezi ujao, BOSS ananitegemea kwenye kila kitu kuhusi hii biashara, hivy na vitu naomba kuvijua kutoka kwenye familia hii ya JF 1. Wahudumu wa bar hua wanalipwa vipi...
  2. H

    Mkopo wa Million 100 kwa ajili ya biashara ya usafirishaji

    Asante kwa challenges ulizonipa, nitazifanyia kazi
  3. H

    Mkopo wa Million 100 kwa ajili ya biashara ya usafirishaji

    Habari za majukumu ndugu zangu, Nina wazo la kukopa bank kiasi cha pesa Million 100 kwa ajili kununua mitsubishi canter 2 zenye uwezo wa kubeba tani 3.5 kwa ajili ya biashara ya usafirishaji bidhaa na mizigo. Mwenye wazo lolote juu ya hili naomba anisaidie.
  4. H

    Tamko la DARUSO kuhusu mikopo

    Jamani katika swala hili la mikopo vipi kuhusu wanafunzi wasiokua na wazazi halaf wakakosa mkopo kuna kipaumbele gani juu yao?
Back
Top Bottom