Search results

  1. Z

    Partners sekta ya tools, real estate, ujenzi

    Habari, Kama imeandikwa. Ningetaka kuunda kama society itakayohusu sekta ya ujenzi. Kwa hiyo ninahitaji partners kwa ajili ya: - Kupandisha mtaji - Kutafuta viwanja - Kutafuta wateja - Kuajiri wafanyakazi - Kufanya taratibu zote za serikali. Kama uko serious na una interest na sekta hiyo nipe...
  2. Z

    Viwanja Pongwe 2 vimehitajika

    Habari Ninatafuta mawasiliano kuhusu viwanja vya Pongwe 2, Bei, Ukubwa.
  3. Z

    Partnership : Biashara ya uuzaji mafuta ya gari

    Habari Ningetaka kuanzisha biashara ya uuzaji mafuta ya gari Ninatafuta partner. Masharti : Awe na skype, tuzungumze kwa haraka. Kama hapendi kuandika / Kusoma, sina haja. Ahsante
  4. Z

    Natafuta partner kwenye kilimo

    As Salaam alaykum Ninatafuta patner kwenye Kilimo kuwekeza na kufanya kazi nami Tanga. Tutafikiri pamoja mazao gani yatalipa. Na eneo ya kuuza. Baadae tutafuta shamba na wafanyakazi husika. Kwa mfupi, ninawatafuta watu na characteristic hizi. * Tanga * Mtaji hata mdogo * Mwaminifu * Anajua...
  5. Z

    Natafuta partner kwenye kilimo

    As Salaam alaykum Ninatafuta patner kwenye Kilimo kuwekeza na kufanya kazi nami Tanga. Tutafikiri pamoja mazao gani yatalipa. Na eneo ya kuuza. Baadae tutafuta shamba na wafanyakazi husika. Kwa mfupi, ninawatafuta watu na characteristic hizi. * Tanga * Mtaji hata mdogo * Mwaminifu (Muislamu...
  6. Z

    Biashara la kujenga nyumba ya bei nzuri

    Ningetaka kuunda kampuni ndogo ya kujenga nyumba nzuri lakini ya bei sawa kwa ajili ya watu. Lakini ninahitaji skills na watu ambao wana mawazo yale pia.
  7. Z

    Kuunda ofisi ya Architecture (usanifu). Nani yupo nami ?

    Ningetaka kufungua ofisi ya architecture (usanifu). Lakini ninahitaji associates. Tunahitaji kuwa watatu at least. Kila mmoja atashughulika na sekta moja. - wateja - fedha - kujenga - sheria na taifa
  8. Z

    Ninahitaji ushauri kuhusu Fumba Town

    Nani anajua mji wa Fumba town. Mnajua kama kampuni hiyo inaweza kuaminika au hapana ? Nani ameshanunua nyumba huko ?
  9. Z

    Ninatafuta kiwanja kikubwa Lushoto (Shume)

    As Salaam alaykum Ninatafuta kiwanja kikubwa huko Lushoto eneo la Shume lakini bei nzuri.
  10. Z

    Residence Permit Class 'A' (Kibali cha Makazi Daraja A). Lawyer Wanted

    Kama nimeandika kwebnye title. Ninatafuta mwanasheria atakayenisaidia kupata Residence Permit class 'A'. Mtu mwaminifu atafanya process zote kwa ajili yangu. Pia nitahitaji dependent pass. Serious person only. Mtu mwanifu tu.
  11. Z

    Niambieni upendeleo wenu kwa architecture

    Nyumba ya aina gani mngepenga kujenga. Ninataka kujua hamu na akili wa ndugu zangu Chagueni bayna nyumb A) B) C) D) E) F) G)
  12. Z

    Muda na fedha ujenzi nyumba two storeys

    Kujenga nyumba ya aina hii sasa kunachukua muda gani ? Na fedha gani. Mkoa wa Tanga.
  13. Z

    Uwekezaji kwenye Kilimo Tanga. Partnership

    Ninatafuta partner kuwekeza kwenye Kilimo Tango. Tufanya mazao mbalimbali lakini mazao yanayouzwa vizuri
  14. Z

    Kufanya supermarket Tanga. Partnership

    Ningetaka kufanya duka huko Tanga lakini nina mtaji mdogo ndo maana ninatafuta partner mwenzangu mfanyabiashara kufanya mradi huo nami. Lazima awe mwaminifu.
  15. Z

    Builders

    Kujenga nyumba ya ghorofa 2 Tanga. Inachukua muda gani na pesa ngapi. Ghorofa ya kawaida na ghorofa ya kwanza. Lakini si nyumba ambao wanazozijenga kwa kawaida, kama nyumba huko India au Asia . Nyumba kama hii
  16. Z

    Ninatafuta ndugu kuunda Investisseurs club (Klabu ya wawekezaji)

    As Salaam alaykum ndugu zangu. Tegemeo langu mko katika hali njema katika mwezi huu mtukufu ya ramadhani. Mara kwa mara nina fikiri kuwekeza pesa kwenye miradi mbalimbali lakini nina breki kubwa, kwa mfano : kiasi kikubwa ya fedha ; ukosefu wa maarifa juu ya mradi husika nkdlk... Ninaona kama...
  17. Z

    Uwekezaji kwenye new technologies

    Nani ana wazo ya kuwekeza kwenye new technologies ? Lakini kidogo kidogo
  18. Z

    Ninatafuta marafiki (ndugu) wafanyabiashara

    As Salaam alaykum wote Ninatumai mko kati hali njema bi idni Allahi katika mwezi huu mtukufu wa ramadani. Mimi ninapenda vitu vyote vya real eastate. Lakini bahati mbaya sioni nchini miradi ya nyumba nzuri na bei nzuri kwa watu. Kwa mfano mradi kwa matajiri pekee au kwa wageni tu. Kwa nini...
Back
Top Bottom