Search results

  1. E

    Serikali yataja wamiliki wa Dowans

    nashangaa watu wanahangaika weee na ma document makubwa makubwa na wengine wanasema eti ni kampuni ya JK! wenye Dowans Tanzania mkitaka majina yao nendeni jengo la Ushirika pale Lumumba ofisi za BRELA mtazame MEMARTS mtaona how hard is that? Ikishindikana si mumuulize BADRA MASOUD wa...
  2. E

    Dubai or Japan or UK?

    WHY NOT dUBAI AU uk?
  3. E

    Dubai or Japan or UK?

    Jamani magari yaliojazana hapa mjini mengi yalikuwa yanatoka Dubai kisha UK nao watu wakaanza kuingiza na sasa naona watu wanazungumzia kuagiza gari wenyewe direct from Japan sasa nauliza kama nataka gari kama Rav 4 au Prado au gari tuu yoyote kwa ujumla ni nunue wapi kati ya nchi hizo 3 ...
  4. E

    Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Kufua Nguo | Laundromat Business

    Je nikitaka ku specialise na kupiga pasi tuu je itafanikiwa? NakIjua gharama ni umeme bas lakini sijajua nguo kupiga pasi ni kiasi gani
  5. E

    Wazito PPF wachota ‘vijisenti’

    sasa hii ya idara ya Procurement na JR niliposoma ndio nimechoka kabisa Madudud yanayoeendelea kule IT na kuajiri Mganda ndio basi kabisa
  6. E

    Benno Ndulu & Mustafa Mkulo= Dumb & Dumber

    duh! sasa itakuwaje?tusubiri mpaka 2015?
  7. E

    Binti wa Mzindakaya amkashifu Dr. Slaa kwenye facebook

    duh! mnae, yale yalee ya Mange Kimambi
  8. E

    IKULU: Kikwete si mmiliki DOWANS!

    IN OTHER NEWS: BOSI WA IT PPF NI MGANDA!!!! SOMA HAPA https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/98206-mfuko-wa-ppf-kuna-ufisadi-wizi-na-uzinzi-na-unyanyasaji-wafanyakazi-4.html#post1443151
  9. E

    Philemon Luhanjo: Ni nini kazi yake? Mbona hastaafu?

    naona huyu ni un tachable
  10. E

    Ukuta Open space iliyovamiwa Ocean Road Wavunjwa

    All I know this wont end well...
  11. E

    Ukuta Open space iliyovamiwa Ocean Road Wavunjwa

    Naona watu washaanza kushabikia haya mambo ya rule of the junglelakini pamoja na jazba na ushabiki uliopo hebu turudi nyuma na kujiuliza maswali yafuatayo: 1. Why huo ubomoaji ufanyike usiku wa manane? Wanaogopa nini mchana? 2. Why tibaijuka au ofisi yake haikutoa clarification yoyote on...
  12. E

    Fisadi wa Rada, Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

    eti Ikulu ya Nyerere!!!!
  13. E

    Philemon Luhanjo: Ni nini kazi yake? Mbona hastaafu?

    Hivi kazi yake ni nini haswa? And please dont give me his job description. Hivi yuko pale alipo anafanya kazi gani haswa? Just curious
  14. E

    WikiLeaks: Tanzania official fears for his life!

    Lakini je huyu Hosea naye ni HONEST kama baadhi ya watu wanavyotaka tuamini?
  15. E

    Wazito PPF wachota ‘vijisenti’

    wenyewe watadai kuwa ni haki yao halafu nyie mtaambiwa mnashinda online kuwapiga vita na kuwafanyia majungu
  16. E

    Wazito PPF wachota ‘vijisenti’

    itabidi itumike wiki leaks kuwa toboa hawa nao Ufisadi mtupu
  17. E

    Wazito PPF wachota ‘vijisenti’

    where is the outrage?
Back
Top Bottom