Search results

  1. B

    Madaktari waliofukuzwa waula Namibia, Botswana, Rwanda na A.Kusini

    Wanaibwa kivipi na wakati mnawatunishia misuli??.......unapoona cha kazi gani mwenzio anasema atakipata lini
  2. B

    Kenyans Voted Ugliest in Africa

    Haya mashindano mengine ni ukiukwaji wa haki za binadamu hata Mungu hapendi kwani kwaye kila mtu ni mzuri thts why akamuumba. By the way the thread made my furahi day!
  3. B

    Kwa nini kina mama wengi hawawapendi wake au wachumba wa watoto wao

    Mama zetu wengi huingiwa na hofu ya aina ya wakwe zao kwa sababu ya ubinafsi na wakati mwingine ni kweli huwa sahihi ktk jitihada za kuwaokoa vijana wao wasiingie mlango wa kutokea......kwani wengi wao huwaza maisha ya baadae (wanapozeeka) na ikumbukwe kuwa kwa familia za kibantu mtoto wa kiume...
  4. B

    Nipokeyeni na mimi wajameni!

    Karibu pita mpaka chumbani
  5. B

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Sijaona ubaya wa Gadafi siku zote mwisho wa wema ubaya anayeua ni hao wamarekani, wafaransa na waingereza. Na ukitaka ubaya linda, tetea /omba chako
  6. B

    Hoja ya Shossi juu ya sh. 500/- ya babu

    Sasa mbona ukiugua malaria na maladhi mengine unaenda hospitali??? si ukae na imani yako ili usimkufuru Mungu??. Mi nadhani wengine hapa ni lazma mdiscourage watu wenye imani za kweli ili kulinda maslahi yenu kwani mashirika yanayojihusisha na vita juu ya ukimwi yatakua na lipi la kufanya ss...
  7. B

    Ni lazima kuwa member wa nssf??

    Wadau naomba kusaidiwa uelewa katika hili. Hivi ni lazima kwa watumishi wote wa serikali, mashirika ya umma na yale yasiyo ya kiserikali kuhifadhi mafao yao katika mfuko wa NSSF?. Na kama si lazima ni taratibu zipi zifuatwe ili kuhamishia mafao yao katika mifuko mingine ya jamii kama PSPF na...
  8. B

    nimezaa na shemeji yangu

    Wanawake tuna mambo ila hilo lako funga kazi!. Nadhani haina hata haja ya kutubu kwa mumeo maana utamuua bure baba wa watu......inaonekana hukumpenda ulipenda mali zake tu....... hustahili kuendelea kuwa kwake u beta run away maana hata yeye an moyo wa nyama
  9. B

    Bajaj ya wajawazito - Ahadi imetimia!

    Inanisikitisha sana hali hii kiasi kwamba najiuliza hivi hao wabunge tunaowaita VITI MAALUMU wanafanya nini bungeni km hawawezi kuelezea hali halisi ya mwanamama anapokua mjamzito na wao ni wanawake na wengi wao wana hadi vitukuu.......sioni sababu ya kuwepo viti hivyo kama wanashindwa hata...
  10. B

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Hahahahaaaahahaa! hongera
  11. B

    Siridhiki ila ninampenda

    Acheni mbwembwe toeni ushauri, kiswahili kigumu bana nani asiyejua hilo????. Hata hivyo kajitahidi sn maana si lugha yake ya kwanza hiyo
  12. B

    Na huu nao ni mswaki?

    Kazi kweli kweli
  13. B

    Kagoma kutoa mtoto aliyekubali kuzalishwa....

    Hivi mtu unapoapa mbele ya kanisa/msikiti "kwa shida na raha" huwa ina maanisha nini??. Sikuona sababu ya mwanaume kuomba kuzaa mtoto nje ya ndoa kwani huko ni kumsononesha mwenziwe na ni kinyume na kiapo.Kwangu mimi naona kitendo cha huyo dada kung'ang'ania mwanae ni ka adhabu kadogo Mungu...
  14. B

    Matamanio ya mwili

    Hahahhahaaaa!
  15. B

    Who is IGP Mwema? CV Please!

    - Ni mwanaume - ni Mtanzania - Ni Inspekta Generali wa Jeshi la Polisi -Tanzania chini ya wizara ya mambo ya ndani - Amesoma LLB Chuo kikuu cha Dar es Salaam - Ameoa na ana watoto - Katika utendaji wake wa kazi yupo commited
  16. B

    Vitabu vyenye wasifu wa Rais JM Kikwete & Dr. Slaa

    Habari zenu wadau, naamini mko poa. Naomba kwa yeyote anayefahamau mahali ninapoweza kupata vitabu vya JK na Dr. Slaa anifahamishe tafadhali. Asanteni
Back
Top Bottom