Search results

  1. mgonjamichael

    Mpenzi wangu ameenda Burundi bila kuniaga, nifanyeje?

    Wapendwa tumsifu Yesu Kristu, Assalam Aleikum, Nina jambo linanisumbua ambalo ni hili. Nina mpenzi wangu ameniaga anaenda Kigoma kwa kaka yake nikasema sawa, lakinini baada ya kufika Kigoma akapata nafasi ya kwenda Burundi bila kunitaarifu, akakaa wiki na nusu hapatikani. Jumatatu wiki hii...
  2. mgonjamichael

    Wazazi wa mchumba wangu hawanitaki

    Nina mchumbaangu tunapendana sana ila kikwazo ni wazazi wake hawanitaki kisa tofaut ya dini na kabila nifanyeje? naombeni ushaur wadau
Back
Top Bottom