Search results

  1. K

    Nina shahada ya Uhandisi wa Mitambo, natafuta ajira

    Habari za wakati huu wakuu. Mimi ni kijana muhitimu wa Shahada ya kwanza ya Uhandisi Mitambo(Mechanical Engineering) mwaka 2019 kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT). Naishi Mbagala, Dar es salaam Najitokeza mbele yenu kuomba msaada wa kupata sehemu ya kujishikiza (internship, volunteer...
  2. K

    Madalali madalali madalali

    Natafuta chumba maeneo ya mabibo karibu na chuo cha NIT mwenye uwezo wa kunisaidia na afanye hivyo. NAWASILISHA WAKUU
  3. K

    Madalali madalali madalali

    Natafuta chumba maeneo ya mabibo karibu na chuo cha NIT mwenye uwezo wa kunisaidia tafadhari tusaidiane NB:lugha chafu haziruhusiwi
  4. K

    Hostel nje ya chuo cha NIT

    Habari zenu wakuu Mimi ni miongoni mwa wanafunzi waliochaguliwa NIT kwa mwaka wa masomo 2015/2016 natafuta hostel ambazo zipo nje ya chuo kwa mwenye ufahamu juu ya hilo anisaidie. Natunguliza shukrani zangu za dhati
Back
Top Bottom