Search results

  1. T

    App ya kutafsiri sauti. Eg from german to swahili

    Hii inatafsiri maandishi sijajua kama inatafsiri na sauti au kwenye sautininatumikaje kwKuwa naitumiankwenye kutafsiri maandishi
  2. T

    App ya kutafsiri sauti. Eg from german to swahili

    Habari wana jamii forum naomba msaada wa kujua app inayoweza kutafsiri sauti, mfano nasikiliza voice au short vidio ya kijerman inanitafsiria kiswahili moja kwamoja, naomba mwenye kujua anisaidie.
  3. T

    Youtube app ambayo haina matangazo

    Wakati natumia youtube
  4. T

    Youtube app ambayo haina matangazo

    Au naomba mwenyekujua jinsi ya kuzuia matangazo kwenye simu
  5. T

    Youtube app ambayo haina matangazo

    Habari wana jf. Naomba msaada wa youtube app ambayo sio ya kulipia na haina matangazo.nimetumia vanced siku moja haifanyikazi tena ila ni nzuri haiweki tangazo hata moja.
  6. T

    Application inayo dowload nyimbo youtbe na hata nikibadilisha simu nyimbo zangu niendelee kuwanazo kwenye simu mpya.

    Habari wana jamii naomba mwenye kujua app nayoweza kudownload nyimbo na hata nikibadili simu nizikute mgano picha kwenye google photo nikibadili simu nazikuta.nataka kwa nyimbo sasa. Maana natumia vidmate na tube mate lakini nikibadili simu naanza kudownload upya.msaada mwenye kujua
  7. T

    Naomba app za bure za kuchat na gpt

    Ndugu nazidi kuja kwenu kuomna msaada wa kujua app za bure za kuchat na gpt maana nimeona kule unaweza kuwa na shida ikasaidia kukupa maelekezo. Nilipata moja ya bing nimechat nae kanikatoa mawasiliano gafla afu hataki kuchati tena na mimi
  8. T

    App inayo convert jpg/pdf to word .

    Wanajamii forum nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano. Naomba anaejua app inayoconvert docment iliyopigwa kama picha au pdf kuipeleka kwenye word. Ambayo ni ya bure hailipiwi
  9. T

    Nimekuja na mrejesho wa Samsung A series

    Na ninaendelea kugundua maajabu wala hai screen short. Afu ukiwasha haiandiki samsung galax a34 . inaandika samsung galax basi. Yele uwiiiiiiiiii!!! Nimepigwa. Japo sijadhibitisha sana. Kuna jamaa mmoja humu huwa anajua simu sana mkwawa jamaa angenisaidia ningepona .kuna kipindi pia alisha wahi...
  10. T

    Nimekuja na mrejesho wa Samsung A series

    Napenda kwanza nijiridhishe kama ni fake ndo nirudishe
  11. T

    Nimekuja na mrejesho wa Samsung A series

    Sio matajiri nimejiunga sana kununua hii simu kwanza nilikuwa nalipankwa installment. Naomba tu msaada kujua simu og na fake kwakuwa nimenunua sio mbali na ninapo ishi nairudisha tu nabadilisha maana anazo simu aina zote hizi flagship kama note 10 plus ,ana hiz aseries . naomba jinsi ya kujua...
  12. T

    Nimekuja na mrejesho wa Samsung A series

    Zile features zote za samsung hamna iko tu kama infinix afu batton ya kuzima simu haina ukizima inakuletea vitu vingine vingi. Au nimepigwa nimeinunua 700,000. Na omba mwenye njia nyingine jinsi ya kuangalia simu original anisaidie
  13. T

    Nimekuja na mrejesho wa Samsung A series

    Habari wadau niliomba ushauri hapa simu ipi bora kati ya samsung galax a 33 au a345g. Nimenunua a345g nimegundua hizi simu za a series ni infinix iliyochangamka. Sijazoea samsung za hivi jamani, sijapenda kabisa. Na ni simu original nimeipima vya vipimo vyote vya bimei, ma sensor sijui. Mliowahi...
  14. T

    Simu ipi ya samsung a serries ni bora kati ya a33 5g na a345g

    Asanteni sana sana j.f nimekuwa nikipata msaada sana katika forum hii.ninapokuwa na jambo linanitatiza kuhusu maswala mazima ya kitevhnolojia nakuja hapa.huwa nataman nilipe ada walau hata 10,000 kea mwaka lkn sijui utaratibu ukoje.najikuta tu naacha.il a jf msaada sana ,
  15. T

    Simu ipi ya samsung a serries ni bora kati ya a33 5g na a345g

    Habari wadau naomba msaada nina badget ya 700k nataka simu nzuri ya samsung .mwanzo nilikuwa natumia samsung note 8 lkn hii inasumbua haikai na charge sana. Ni ipi simu nzuri katika hizo. Hasa kwenywe camera,ram,rom,na vingine mfano android version na kama ina update version.
  16. T

    Simu haiwaki hadi nichomeke kwenye charger

    Nimebadili kama wiki 2 zimepita na nikawa naitumia vizuri tu
  17. T

    Simu haiwaki hadi nichomeke kwenye charger

    Habari ya muda huu wadau. Naomba msaada mwenye kujua , nina simu samsung galax note 8 imetokea tu nachage inajaa nikichomoa kwenye charger inazima nikiweka kwenye chager ikaiwasha inawaka. Nikichomoa nikawasha haiwaki . Ila imejaa ina asilimia 100. Tatizo linaweza kuwa nini
  18. T

    Msaada wa kufuta group la Facebook

    Habari wana JF, Kuna group la FaceBook limefunguliwa ili wanitukane naomba msaada wa kulifuta nikiwa sio memba wa group hilo. Asanteni
  19. T

    Simu ipi nzuri kati ya Samsung Galax s9 au Sony Experia xz3

    Habari wadau, Naomba msaada wenu mnishauri simu ya kununua nikizingatoa zaidi ram, rom, battery. Ushauri wenu please.
Back
Top Bottom